EL ni jembe,yani ni kati wanasiasa adimu DUNIANI ambao wanaweza kufanya kwa vitendo kuliko maneno.Ana uwezo wa kumuangalia mtendaji aliyevurunda usoni kwa jicho kavu na akiwa mkakamavu na kumwambia hivi SIYO sawa!Hapa No!Hao ndo viongozi tunaowahitaji ili nchi iwe na discipline.Kiongozi mmoja tu nafasi ya Raisi anayehitajika ku influence mabadiliko ya mifumo na tabia za viongozi wa nchi hii na tabia jamii.Lowassa hoyeeeee!