Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,628
Basi leo jioni mida ya saa mbili kama na robo/nusu jioni watu tunapata mishkaki na hii bia mpya ya Tusker Lite pale Kona Bar, mara kundi la wanaume na wavulana linamfuata dada mmoja huku wanaimba "La kichina, la kichina, la kichina..."
Nimemwona yule dada aliyekuwa anaimbiwa huku anafatwa kwa nyuma, duh! Meeen, yule dada ni mwembamba sana lakini ana hilo wowowo balaa (hafu wowowo lenyewe liko chini chini), bahati mbaya nina kisimu cha tochi ningechukua picha yake.
Ila cha kushangaza ni jinsi wale waliokuwa wanamfata wanavyojifanya kuzomea kumbe wanainjoi kumwangalia, make baada ya kuingia kwenye gari walianza kumwambia toka nje tukuone! La kichina... etc.