Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Aletewe mara ngapi mkuu?Manji kaona asije akaletewa mauzauza maana
OvA
Aletewe mara ngapi mkuu?Manji kaona asije akaletewa mauzauza maana
OvA
Mbona wewe anakuzidi hata bata mzinga ana akili?Hicho ndicho kitakufurahisha?
Jilaumu kupewa akili kidogo aisee
Hiyo ID yako tu unaonekana ni mtu wa wapipamoja ya kuwa sometimes magu anazidisha ubabe lakini namuunga mkono wahindi hawa ni corrupt na wanyanyasaji sana....alipe na kodi zote alizokwepa shenzy taip
Anajinyanyasa mwenyewe kwa kufikiri yupo juu ya sheria kutokana na fedha zake. Siyo kweli kwamba fedha zinaweza kuwa jawabu kwa kila kitu.Sawa. Ila Manji ananyanyasika sana ktk utawala huu. Sijui chanzo ni zile mil. 725 zilizokamatwa Chimwaga ??
wakati wa jk alikua jeuri sana huyo kwa mawaziri,anawajibu shombo,alikua anamuheshim jk tu,sasa waziri kawa rais,anaoneshwa thamani ya ngozi nyeusiSawa. Ila Manji ananyanyasika sana ktk utawala huu. Sijui chanzo ni zile mil. 725 zilizokamatwa Chimwaga ??
Hakika umesema kweliDah
Jamaa amekubali kinafiki tu kisa hawezi kupambana na dola
Manji tulikuonya humu mapema sana ila jeuri na dharau zako ndizo zilikuponza hadi sasa umesubiri ' umeshabinywa ' na ' kukamuliwa ' vya kutosha huku Vyanzo vyako vyote vya Pesa vikipigwa ' pini ' ndipo unasalimu amri. au ulidhani JPM ni yule ' Mkwere ' wako ambaye ulikuwa unampelekesha unavyotaka?
Ukome!
Haiwezi kutokea akili kama hizo ziweze kuniweka mjini mimiKuwa makini kijana usije kustukia huyu unae mwita ana akili ndogo ndio anaewaweka mjini wewe na dada yako.