Sakata la Coco Beach: Manji asitisha mpango wa kuchukua ufukwe wa Coco Beach kwa lengo la kuwekeza

Amesitisha au amesitishwa aache Kiki za kijinga alikua anataka kutapeli eneo Rais amempiga vita tokea aingie madarakani.

Magufuli mwenyewe alisema kuna watu wanataka kuwadhulumu hata watoto wa masikini maeneo ya kuogelea na atalifuatilia.
 
Manji hakuwa tajiri kiasi hicho kwa bahati mbaya. Ni bepari kweli kweli. Sifa ya mabepari ni kutambua uelekeo wa upepo-hawatumii nguvu kupambana na upepo ndo maana wako radhi wasubiri hata kwa miaka 8 ikiwa wanaona upepo hauvumi kuelekea wanakotakata.
 
Urais ni wa miaka 10 tu(kwa mujibu wa katiba yetu)..
Utajiri wa Manji utaendelea kuwepo..

Hawa walio madarakani wawe makini sana ipo siku watarudi kuwa raia wa kawaida..


Usijifananishe na mbuyu wakati wewe utaendelea kuwa mchicha siku zote.

Ukisha kuwa rais siyo jambo la mzaha, hata muda wake uishe bado ananguvu, kinga , ulinzi na mshahara 80% ya mshahara wake.

Na pia, ushauri wake unafanya kazi kama kawa.

Any way, foolish will continue to be desperate!
 
Back
Top Bottom