Sakata la Coco Beach: Manji asitisha mpango wa kuchukua ufukwe wa Coco Beach kwa lengo la kuwekeza

Mangi angefanikiwa kupitisha zile bilioni pale chimwaga tungekuwa tunaongea mengine ila kwakua hakuwa na connections let him pay for it.

Ushauri wangu maghu acha visasi nakuambia wewe ni mzazi ujui ya kesho.
Ni hayo tu.
 
Si tuliambiwa kwamba amejiuzulu uongozi wa quality group na kwa sasa ni mshauri tu.
Pili akumbuke kulipa kodi kwani Huo ni wajibu wa kila Mtu au mkazi wa sehemu fulani kulipa kodi , ila pale tu sheria nyinginezo zinapo mpa haki hiyo na mwisho kuamini ktk diversity . Hivyo vitu ndio vitamweka salama ktk nchi ya tanzania na nchi zote zenye kuamini ktk utawala bora
Hamjawahi kumtoa huko. Agency rltp na personal legal entity kwetu chenga
 
Hii awamu ni kunyooshana, mimi nimenyooka na bado naendelea kunyooshwa. Namba nilishamaliza kuzisoma...

Sikutegemea "tycoon" kuomba radhi, kwa kweli kila mtu ananyooka kwa namna yake.
 
Hatimae lile sekeseke la Coco Beach limefikia mwisho baada ya Manji kusalimu amri kupitia taarifa kwa umma aliyoitoa leo tarehe 24-June-2017 kwenye Gazeti la Mwananchi. Hapa chini kwenye screenshot ni taarifa hiyo ya Manji. Hakika katika utawala huu wa JPM matumizi ya pesa/rushwa havina nafasi.

View attachment 529770
AMESOMA ALAMA ZA NYAKATI ...KIBURI SI MAUNGWANA... HUU SI WAKATI WA KUTUNISHA MISULI KWA NGUVU YA UMMA KWA KUTUMIA PESA....HOPEFULLY WATAFUMBA MACHO KWENYE MADUDU YAKE MENGINE...
 
Back
Top Bottom