OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,219
- 103,808
Eleweni kwanza ni mgonjwaHii ngoma inakoenda sio kwenyewe
God forbid!!!
Hivi ndugai kwann asiipotezee kama Mzee JK aiseh
Ni spika mgomvimgomvi usishangae matusi tu, aliwahi kulichapa liccm lenzake mpaka likazimia na akajisifu bungeni na maccm menzake yakashangilia
Nina wasiwasi na lishe yake utotoni, ila ccm ndiyo wanapenda watu wa aina hiiEleweni kwanza ni mgonjwa
Bora viongozi wa kiislamu waseme maana tunakoelekea itaonekana anamfuatilia sana kwa sababu ni muislamu
Wakati sakata la spika na CAG likichukua sura mpya,viongozi wa dini nao hawapo nyuma kukemea.
Viongozi wa dini ya kiislamu wameonyesha kuudhika na mwenendo wa spika na kutilia mashaka kwamba upo uwekezekano Spika akawa na ajenda binafsi kwa CAG Mussa Assad.
Kiongozi huyo amesema iko wazi kabisa sisi binadamu tuna madhaifu na mapungufu. Ni Mungu pekee asiye na mapungufu. Sasa iweje Spika ajione kwamba bunge lake halina udhaifu na kujifananisha na Mungu.
Waislamu na mifano ya mbwa ni vitu viwili tofauti....... Nilijua lazima siasa kali wataibuka japo tulishawasahau!
Wakati sakata la spika na CAG likichukua sura mpya,viongozi wa dini nao hawapo nyuma kukemea.
Viongozi wa dini ya kiislamu wameonyesha kuudhika na mwenendo wa spika na kutilia mashaka kwamba upo uwekezekano Spika akawa na ajenda binafsi kwa CAG Mussa Assad.
Kiongozi huyo amesema iko wazi kabisa sisi binadamu tuna madhaifu na mapungufu. Ni Mungu pekee asiye na mapungufu. Sasa iweje Spika ajione kwamba bunge lake halina udhaifu na kujifananisha na Mungu.
Ovyo kabisa, li ndugai limeshupalia mwenzake afukuzwe kazi, hivi alivyowachapa bakora maccm wenzake na sisi wananchi tungeshupalia angeupata wapi huo uspikaNilijua linakuja hili
Ishu imekuwa kubwa utafikiri Mussa ana kesi ya jinai?
Ovyoooo
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
We mwache tu, nadhani hawajui, wakilianzisha ataiona Tanzania chunguWaislamu na mifano ya mbwa ni vitu viwili tofauti....... Nilijua lazima siasa kali wataibuka japo tulishawasahau!
Maana hata mle bungeni wamo!We mwache tu, nadhani hawajui, wakilianzisha ataiona Tanzania chungu
Kweli nyakati dah Prof. Malima cc FaizaFoxy et al Mohamed SaidWaislamu na mifano ya mbwa ni vitu viwili tofauti....... Nilijua lazima siasa kali wataibuka japo tulishawasahau!