Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 5,319
- 10,170
Zama hizi hizi kuna Ndoa nzuri na mbayaKwa hizi zama ni heri kuishi alone tu. Si Kwa KE wala ME
Huko kuuana ilianza zamani na zamani sema Dunia haikuwa kama kijiji

Nyakati hizi ni too much! Waliooana miaka ya 1970s, 1980s waliweza.Zama hizi hizi kuna Ndoa nzuri na mbaya
Huko kuuana ilianza zamani na zamani sema Dunia haikuwa kama kijiji
Ndoa ni kati ya mikataba mibovu sana duniani ambayo binadamu anaweza kuingia.Ndoa ni heshima📌
KweliZama hizi hizi kuna Ndoa nzuri na mbaya
Huko kuuana ilianza zamani na zamani sema Dunia haikuwa kama kijiji
Ndio maana hulazimishwi.uamuzi ni wako.Ndoa ni kati ya mikataba mibovu sana duniani ambayo binadamu anaweza kuingia.
Sahihi.Zama hizi hizi kuna Ndoa nzuri na mbaya
Huko kuuana ilianza zamani na zamani sema Dunia haikuwa kama kijiji
SahihiNdio maana hulazimishwi.uamuzi ni wako.