Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
hah aha a kaka kule niliondoka mda sana ..sema ndio nimeoa huko huko .ukienda kule huwezi kurudi mwenyeweIvunga tangu alipwe fedha ya GASPROM na mmoja wa hawa watu kwa kazi nzuri aliyofanya, basi hata kazi hataki.
Unachezea hela ya Gasprom wewe?
i know.You can use different tab uko unasoma thread moja
we jamaa unajaribu kupatia patia sema kiti ccheusi na juu ya meza kuna bibleCheki ofisi yake( na muda wenyewe).......:lol::eyebrows::embarassed2:
we jamaa unajaribu kupatia patia sema kiti ccheusi na juu ya meza kuna bible
hah aha a kaka kule niliondoka mda sana ..sema ndio nimeoa huko huko .ukienda kule huwezi kurudi mwenyewe
ndio huyu huyu yupo..halafu nina kesi na wewe..hii picha umeitoa wapi?kweli JF ni koboko ..siku ukikuta picha ya mke wako imetundikwa huku usizimie ni mambo ya kawaida aisee dah!!Ulibadili lini? Yule secretary wako bado yupo?........nilimmaindi sana
ahhahaa..mimi sina chembe ya uchaga hata kidogo. halafu acha ukabila..katafute lile bandiko linalohusu asili ya uchaga na lugha zao kama utanikuta.
ndio huyu huyu yupo..halafu nina kesi na wewe..hii picha umeitoa wapi?kweli JF ni koboko ..siku ukikuta picha ya mke wako imetundikwa huku usizimie ni mambo ya kawaida aisee dah!!
pole bhana aisee karibu tena ofisini....nita,wambia akuandalie kitu safari lager ..huenda safari moja ikaanzisah nyingineNilimpiga kwa simu yangu ya HU-HO-HANG akanipa na namba yake.......ila nikaja kugundua ni namba ya chasis ya gari bana......
pole bhana aisee karibu tena ofisini....nita,wambia akuandalie kitu safari lager ..huenda safari moja ikaanzisah nyingine
natumiaga simu mara chache sana.Huenda anatumia cell phone ndo mana ni kama yupo muda wote! Au ni mtoto wa EL so, pesa ipo kibao akafanya kazi ya nini! Au kazi yake inafanana na ile ya N.ape, zipo sababu kibao.
kaka tatizo biere nilishaacha.bwaha bwaha, Saint Ivuga unapatikana wapi kwa hapa nataka kesho nikupe Ofa ya Biere, najihisi nitakua mwenye bahati
we belinda wewe..mzima lakini sist?St. Ivuga ni freelancer🙂))
kaka tatizo biere nilishaacha.