Saint ivuga unapiga mzigo saa ngapi

Mmh hii, kali sasa tushaanza kufatilia kuhusu mambo binafsi, we inakuhusu nin kuhusu saint ivuga na ufanyaji wake wa kazi
 
Watu wengine kazi zetu kusaini tu.............sasa utashindwaje kutwanga post humu muda wote? Hivi mnajua anaeongoza kwa kutalii humu...............MZEE MWANAKIJIJI................sijui analala saa ngapi.......ila matela wa benki wanaimisi sana JF........no time to post
 
Ivunga tangu alipwe fedha ya GASPROM na mmoja wa hawa watu kwa kazi nzuri aliyofanya, basi hata kazi hataki.

Unachezea hela ya Gasprom wewe?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…