Saint Ivuga ni Chalii flani huwa anafanya dili za kubeba mizigo Kariakoo, zamani alikuwa mpiga debe pale njia panda ya Kigogo.. Husninyo ni dada flani anafanya kazi ya mama lishe pale Mpwapwa, zamani alikuwa anafanya kazi za vibarua kwenye mashamba ya zabibu.. Aminata sina diteili zake... Ai hopu umeona jinsi hawa ni watu tofauti mkuu!