- Thread starter
- #21
nimekwambia usigeneralize tabia za ukoo au kabila lako udai ni tabia za wanaume. Huo ndiyo ukweli, kama kwenu wanawake wanapigwe elimisha wanaume wa kwenu waacha ujinga huo. acha ku-generalise tabia za kwenu udhani ni za wote. period!!!
Calm down brother, wanaume wanaozungumziwa hapa ni wale wanaofanya hayo matendo na si wanaume wote. Hata mimi swala hili linanichanganya ndo maana nikalileta hapa.
cc: Kiranga