Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,242
- 113,616
Rais wa Mabeba Maboksi, niliongea nao wanasema wanavaa bila dhamira yoyote ya kumtega mtu ila sielewi kwa nini huwa wanazivuta chini zikipanda kupita kiasi
Inawezekana wapo kweli wanaovaa bila dhamira yoyote ya kumtega au kumvutia mtu, ila pia wanaovaa kwa dhamira hizo wapo na ni wengi tu.
Mtu avae sleeveless sundress bila underskirt yoyote halafu kifuani maziwa yamefunikwa kiduchu (huku robo tatu nzima ikionekana)....kweli atasema hakudhamiria kuvutia nadhari kutoka kwa watu halafu ategemee tumuamini? No way Jose!