saikolojia ya kubadili mtazamo wa mtu.

saikolojia ya kubadili mtazamo wa mtu.

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
20,997
nilikuwa nasoma kitabu fulani cha saikolojia. kitabu hicho kilisema kama unataka mtu anywe chai badala ya kahawa mueleze uzuri wa chai na siyo kukazana kueleza ubaya wa kahawa. mtu atajiona kama hajashurutishwa kuamua iwapo utamueleza mazurii ya jambo jipya. pia ukianza kueleza ubaya wa kahawa utamfanya aitetee ili asionekane mjinga kuwa alikuwa anakunywa kinywaji cha hovyo.

hii pengine ndiyo sababu wafuasi wa Lowassa hawasikii la ugonjwa wala la richmond.
 
Ndo maana ukiitwa jina la utani kama hulipendi na watu wakajua hulipendi lazima likukamate tu,but ukijifanya unalipenda sana wala halitakolea kabisa utajikuta uko salama kabisa the same applied to lowassa with vijembez from sisimu havimkamati,big up ENL
 
Back
Top Bottom