Saikolojia: Waelewe Wanaume. (Understand Men)

Ni somo zuri lakini japo nimesoma kifupi sana kuna mahala mwandishi amejichanganya na sehemu aliyochangia ya mambo ni muhimu sana katika mada hizi. CHROMOSOMES Mwanaume ana XY huitwa MBEGU na Mwanamke ana XX na huitwa MAYAI. XX ina spidi zaidi ya Y. X ikifika katika tumbo la uzazi kwaajili ya kupevushwa na mbegu toka kwa mwanaume huweza kubaki hai kwa saa 24 (siku moja) na mbegu Y spidi yake ni ndogo lakini hubakia hai kwa saa 72 (siku tatu) ikiwa mwanaume atatoa mbegu X na kwenda kuliivisha yai X basi mtoto atakayezaliwa ni mtoto wa kike. Ikiwa mume na mke wakikutana kimwili mwanaume akamwaga mbegu zake wakati mayai yake hayajafikia katika tumbo la uzazi mbegu X ya mwanaume ambayo ilikuwa na spidi kubwa itakuwa ndani ya saa 24 na mayai ya Mwanamke XX yakifika yatakutana na mbegu Y. Kumbuka X+Y=Mtoto wa kiume wakati X + X = Mtoto wa kike. Mwanaume ukitaka kupata mtoto wa kike fanya sex siku ya 7 na siku ya 14 na mkeo baada ya kumalizana siku zake maana yai la Mwanamke litakuwa lipo katika tumbo la uzazi likisubiri kupevushwa. Bali ukitaka mtoto wa kiume fanya sex MARA MOJA TU SIKU YA TANO AU SIKU YA KUMI BAADA YA MKEO KUMALIZA SIKU ZAKE nimeandika kwa herufi kubwa kukazia kuwa mara moja tu siku ile ya 5 au siku ya 10 ni kuwa na uhakika wa yai la kike X ambalo litakuwa bado halijafika katika tumbo uzazi ambapo mbegu X ya mwanaume itakuwa imekufa ndani ya saa 24 hivyo kuweza kukutana na mbegu Y ndani ya saa 72 au siku tatu. Sasa ikiwa Mwanamke atakutana ovyo ovyo na mumewe ina maana mbegu X za jana zitakufa leo na leo atapandikizwa nyingine leo zikatunga mimba kabla Y za jana hazijawasili tumbo la uzazi. Fanya utafiti huu na mkeo ndani ya mwaka utarudi hapa JF kunipa pongezi kwa hilo. Nawatakia ndoa zenye furaha. Kwa mantiki hii ni mwanaume pekee ndiye mwenye ku control choice hii kuamua Mtoto wa kike ama mtoto wa kiume. Asante sana kwa hayo machache.
Lugha rahisi ni ili kupata mtoto wa kike mayai XX ya lazima yakutwe na mbegu za kiume XY ambapo X ya Mwanamke itaungana na X ya Mwanaume kumpata mtoto wa kike wakati mbegu za Mwanaume XY hukutwa na XX za Mwanamke katika tumbo la uzazi ambapo ndani ya saa 24 mbegu X ya mwaume hufa ikaweza kubaki ile Y kusubiri XX za Mwanamke kumfunga mtoto wa kiume.
Ubarikiwe.
 
Leo nimeandikiwa hii message

Ukipata ela mwisho wa mwez naomba nifanye shopping ya nguo Naomba uniweke kwenye ratiba zako

akini kwa akili zangu za mlengo wa kushori nimeona hakuna logic hapo

sawia ibn sawa kabisa
 
Aisee kaka hapo umetulisha tango pori X ni ina spidi ndogo na hukaa masaa 72 wakati Y ina spidi kubwa na hukaa masaa 24 tu.
 
Back
Top Bottom