Saikolojia: Je, nimlipizie kisasi au nimsamehe? (Vita visivyoisha vya Afghanistan)

Unapozungumzia nadharia za makundi ya personality fahamu cha kwanza sio lazima uwe na tabia hizo zoote sababu tuna malezi na mazingira tofautitofauti kila mwanadamu

lakini kuna viwango tu vinavyoweza kukujumuisha kundi la personality

mfano mtu mwenye max 75 na mwenye 90 wote wanajumuishwa viwango vya kundi "A" lakini yupo aliefanya vzr zaidi na Yule aliepata kawaida.

Vivyo hivyo unaweza ukawa melancholic 70% lkn unavitu umeviokotaokota kwengine Phlegmatic 10% sanguine 15% Na choleric 5%......hvyo hutajumuishwa kule umeangukia sana
Hizi tabia hurithiwa kutoka ktk mazingira ama genetic..?
 
Unapozungumzia nadharia za makundi ya personality fahamu cha kwanza sio lazima uwe na tabia hizo zoote sababu tuna malezi na mazingira tofautitofauti kila mwanadamu

lakini kuna viwango tu vinavyoweza kukujumuisha kundi la personality

mfano mtu mwenye max 75 na mwenye 90 wote wanajumuishwa viwango vya kundi "A" lakini yupo aliefanya vzr zaidi na Yule aliepata kawaida.

Vivyo hivyo unaweza ukawa melancholic 70% lkn unavitu umeviokotaokota kwengine Phlegmatic 10% sanguine 15% Na choleric 5%......hvyo hutajumuishwa kule umeangukia sana
Unajijua vipi personality yako
 
Ningependa siku uanzishe uzi kuhusiana na makundi ya kitabia
 
Back
Top Bottom