Primary255
Member
- Mar 23, 2021
- 16
- 16
Wakuu habari.
Nimekuwa nikiwadadisi wazee wengi hasa wasomi kwa kujua kwanini wanapenda kwenda kuchukua madegree ambayo kwa umri walio nao ayata wasaidia kitu? au ndio itakuwa wasifu wa mwendanda zake.
Kwa upande wangu ni bora hizo ada wanazo kwenda kulipia hayo masomo kwanini wasisaidie watu au ndugu wenye uhitaji?
Kivyovyote hata uwe tajiri au na elimu kiasi gani awawezi kosekana wasio jiweza au wasio na elimu katika ukoo.
Narudia ni bora kusaidia wasio jiweza kuliko kuongeza elimu isiyo kusaidia kwa umri ulio nao. #ukitoa droo ujanani uzeeni penalt zinakuusu.