SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,805
Wadau kama tujuavyo akiyekuwa IGP SAID MWEMA amestaafu kazi serikalini na sasa tunae IGP mpya lakini nikimuangalia kamanda KOVA ni mtu mzima kuliko MWEMA je iweje MWEMA astaafu kabla ya KOVA? au ndo mambo ya kurudisha miaka nyuma?