SAID MWEMA vs KOVA nani MKUBWA KIUMRI?

SAID MWEMA vs KOVA nani MKUBWA KIUMRI?

kova 50,mwema 55,kiboko yao mtoto wa mkulima anakaribia 67 lakin yumo tu
 
Mnamuonea bure kova,in person kova ni cool guy,anajichanganya na watu hasa mambo ya futiball,
labda awe amechange siku hizi.
 
kova wa juzi tu, mkubwa wa kituo migomigo, bonge la jembe enzi zake, kasumbuana na komando yosso magomeni miaka ya tisini na kina sheikh ponda mwembechai....kweli sasahivi dar wakuja ni wengi!
 
kuna wengine uwa wanaongezewa muda baada ya kustaafu inawezekana mwema alikataa.

Mahita aliomba kuongezewa, JK akamtosa! Kikwete akamuomba Mwema aongeze, Mwema akakataa!
 
Wadau kama tujuavyo akiyekuwa IGP SAID MWEMA amestaafu kazi serikalini na sasa tunae IGP mpya lakini nikimuangalia kamanda KOVA ni mtu mzima kuliko MWEMA je iweje MWEMA astaafu kabla ya KOVA? au ndo mambo ya kurudisha miaka nyuma?
Waweza jiridhisha japo kwa kutizama Physique zao wote wawili. kisha utapata jibu nani Shaibu/kikongwe zaidi ya mwenzie. pia ninani aliyetakiwa kustaafu mapema zaidi ya mwenzake.
 

Attachments

  • IMG_30183.jpg
    IMG_30183.jpg
    24.1 KB · Views: 75
  • index.jpg
    index.jpg
    6.9 KB · Views: 61
  • images b.jpg
    images b.jpg
    7 KB · Views: 97
  • images.jpg
    images.jpg
    6.4 KB · Views: 62
Back
Top Bottom