Said Fella: Harmonize kama ameondoka ni vizuri akiaga

Wewe imejuaje Kama ni show off?
Kumbe hakuna unachokijua unaunga unga matukio alafu una-conclude.
Kwanini mnamshambulia huyo dada? shida iko wapi mtu akitoa mawazo yake au mada ilikuja ili ijadiliwe Fella kasema,

Huyo Fella kabla hajaongea kwenye media yeye kama mkubwa kwanini asimuite Harmonize na kumuuliza kulikoni?
 
Dogo harmo namuonea huruma Sana asije baadae kuingia Kwenye madawa yakulevya huu mziki ni mgumu kwel kwel hautegemei kipaji pekee ndo maana jux,benpol,Ruby,barnaba wanatruggle hawakui kimziki japo wanavipaji vikubwa kuliko hata harmonize.
Alioni hili mbona anakwenda siko na ubinfsi usio na maana.
 
Walikua wanamlalamikia Ruge anayonya wasanii,na wao wanapita humo humo.

Jaribu kusoma kisub-topic kwenye sheria kinaitwa intellectual property kipengele cha copyright wameeleza vizur sana.
Ndo maana dj khalidi na snake hawajaimba kwny nyimbo wanazomiliki na walioimba sio wamiliki kwa sababu ya sheria hyo.
Na hii ndo sheria itakayo mbana harmonize hata kuperform nyimbo alizotoa akiwa wcb ikiwa atahama kama alisaini mkataba unaoonyesha nyimbo zote alizotoa akiwa wcb ni mali ya wcb.
NB:-Ni muhimu kuwa makini na mikataba tunayosaini.
 
Dogo harmo namuonea huruma Sana asije baadae kuingia Kwenye madawa yakulevya huu mziki ni mgumu kwel kwel hautegemei kipaji pekee ndo maana jux,benpol,Ruby,barnaba wanatruggle hawakui kimziki japo wanavipaji vikubwa kuliko hata harmonize.
My brother jux anastruggle?how?akat daily anatoa hit songs na ana biashra inaend poa tu!afu juz alhojiwa kuhus kutopga shoo nyng akajb ttzo bei,hapg shoo ya lak so usione msanii anapga shoo daily ndo ukaona kayaptia Noo,kla mtu ana bei yke,uftlie vtu mzee uckurupuke,ukisema jux anastruggle kweny mzk je chid benz, q chief na tid watakuaje???
 
Hiv kijana unaelewa vizuri maana yakukua kimziki?
 
Huyo Sara kamkuta Hamo ana ghorofa kajenga kwa pesa za muziki labda km alimfanyia finishing... Rayvanny ana nyumba yenye swimming pool sasa wananyonywaje awa watu? Lavalava kaanza muziki juzi tu
Viko wapi hivyo unavyovisema au picha za mitandaoni na maneno ya kwenye kahawa ndo vimefanya uje na wewe useme hayo hapa? N way kama wana hizo asset za namna hiyo nawapa pongezi sana
 
My brother jux anastruggle?how?akat daily anatoa hit songs na ana biashra inaend poa tu!afu juz alhojiwa kuhus kutopga shoo nyng akajb ttzo bei,hapg shoo ya lak so usione msanii anapga shoo daily ndo ukaona kayaptia Noo,kla mtu ana bei yke,uftlie vtu mzee uckurupuke,ukisema jux anastruggle kweny mzk je chid benz, q chief na tid watakuaje???
Bei haiwezi kuwa tatizo bro kama unauzika, unajua Mond anapiga show kwa bei gani?? Mbona yuko booked mwaka mzima promota hawezi kumpa msaniii show akamlipa pesa ndefu wakati hana uhakika wa kuirudisha hiyo pesa.
Jux ni msanii mzuri namkubali sana tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom