Said Fella: Harmonize kama ameondoka ni vizuri akiaga

Qwy

JF-Expert Member
Nov 23, 2018
4,441
2,000
Ulilosema ni sawa, lakini si unaona kuwa tatizo linaanzia hapo? Hiyo mikataba ya muda mrefu inatakiwa ipigwe marufuku. Mtoto wa miaka kumi na nane anapotaka kujaribu kujaribu usanii wa muziki eti anapewa mkataba wa miaka kumi, na kwa vile yuko desparate, anakubali tu, je ikitokea kuwa baada ya miaka mitatu anataka abadili uelekeo labda aingie kwenye siasa au biashara nyingine utamzuia? Kumbuka hawa vijana bado wana opportunities nyingi sana za kujaribu maishani. Mikataba hiyo ya miaka kumi ni kama kifungo cha maendeleo yao. Kuwe na limita ya umri wa mkataba, labda miaka mitatu mitatu renewable. Huwezi kusikia mchezaji wa mpira kapewa mkataba wa miaka kumi, nilizoma mikataba hiyo ya miaka kumi kwa wasanii wa Tanzania tu.
Kwakuwa hatujawa na sheria ya time limit kwenye contracts basi hukuna jinsi bali ni kukubaliana na mambo yalivyo mpaka sheria zitakapobadilishwa.
Rejea issue ya Harmonise maelezo ya Fela ni kuwa mkataba haumfungi,yuko huru kutoka wakati wowote anaotaka ila ombi lake ni kuwa aage kiustaarabu ili kusiwepo mazingira ya beef baina yake na WCB lakini nionavyo kama ni kweli ametoka itakuwa ni faida kwake akitengeneza beef.
Beef itamsaidia kwani haters wa Diamond na haters wa WCB automatically watageuka fans wa Harmonise, ila ikitokea hiyo Kiba ndiyo atakuwa amepotea jumla.
 

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
11,889
2,000
Kwakuwa hatujawa na sheria ya time limit kwenye contracts basi hukuna jinsi bali ni kukubaliana na mambo yalivyo mpaka sheria zitakapobadilishwa.
Rejea issue ya Harmonise maelezo ya Fela ni kuwa mkataba haumfungi,yuko huru kutoka wakati wowote anaotaka ila ombi lake ni kuwa aage kiustaarabu ili kusiwepo mazingira ya beef baina yake na WCB lakini nionavyo kama ni kweli ametoka itakuwa ni faida kwake akitengeneza beef.
Beef itamsaidia kwani haters wa Diamond na haters wa WCB automatically watageuka fans wa Harmonise, ila ikitokea hiyo Kiba ndiyo atakuwa amepotea jumla.

Mimi nilijika kwenye mikataba ya wasanii zaidi ya mgogoro wa Harmonize personally na Kampuni ya WCB. Nadhani mwaka jana au juzi nilisoma msanii mmoja akilamikia BASATA kuwa alipewa mkataba wa miaka kumi na WCB akiwa anatakiwa kukatwa 20% ya mapato yake. Kwa vyovyote mkataba ule haukuwa mzuri hata kwa macho ya haraka haraka, na ndiyo iliyokuwa kichwani mwangu katika kuandika vile.
 

talentboy

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
2,020
2,000
@mkubwafellatmk - WATANZANIA ni kweli wakalimu wanyenyekevu lakini pia wepesi wakuoneana huruma. Ila inatengeamea ukiwa ulicho wadisia kinawaingia haraka ila tukijua unatuongopea sasa apo utatafuta kila sababu uwaombe tena wakuamini tena sasa mie naomba tunatakiwa tutumie ukweli japo kidogo kuliko kuendelea kutumia uongo zaidi wakuonee huruma apo ni kupoteza muda maana ivi mwanzo ulipo kuwa unatafutiwa kudele ili wakujue awo unao chukua muda uwongopee ndio walio ombwa sapoti kwenye ukuaji wako sasa wanakujua ukiona wanakusapoti mfano kwenye ukurasa wako na wakiwa wanakwambia ndio sawa sawa tena mwengine anaenda mbali zaidi yule k......uyo mjue anakuchimbia shimo tena shabiki mwenye uwadui kwako. wazo natoa kuonewa huruma umlazimishi shabiki ila ukiona au mkiona mnapotea ludini niwashauli. sijazaliwa na roho mbaya kama ningekuwa na roho mnayo ifikilia msinge fika apa ujumbe huu kwa yoyote asie juwa umuhimu wa mtu alio kusaidia awali. lakini pia sio lazima kukumbuka alio kukufikisha kila sebuleni kwa watu kuwafahamu. sasa nawashauri komaeni mtaendelea kuwepo kikubwa kumuomba mwenyeziMUNGU tena chukueni muda mwingi kumuomba MUNGU kuliko kuwa imanisha watu ujinga. nyote nilio watengeneza mimi niwachukue mmefanya nini.kumbukeni mwanzo niliwauliza solo anajua mziki mkasema anafanya kazi na marehem R.I.P Boss nilibariki mwende sasa keleta uongo wa nini alafu naomba kutoa ushauri aswa kwa nyie mwenyeziMUNGU alio wabariki pesa msiwalubuni vijana kwa pesa zenu mnawafelisha sisi tupo mtaani ndio tunawajua life style yao nyie amuwezi movement zao. Aya naona nawengine mnaanza kumtia tamaa mwanangu KONDEBOY mie najua utamu wa kazi hii ata uchungu wa kazi hii. najua msanii ana mamuzi ya ukuwaji maendeleo ila mwanangu ukiona ulipo inatosha sawa ila Aga tu vinzuri ata mie nna kila sababu ya kukushauli maana nawajua wenye hela za mjini wanapenda kugusanisha nyaya bin cheche sasa before kuangalia maendeleo wadeki awo jamaa wapo sawa maana mie nawajua zaidi tena labda ujui majina yao yapo Itary wanataka kununu vifaa vya MEDIA. sasa wanangu tuchange karata vinzuri.tena kuna muda walimshauli bin kumlubuni @diamondplatnumz etietietieti achane na sisi wampe usd 100,000 tumalizane etietieti

View attachment 1177001

Huyu mzee anaandika mwandiko mbaya sana uliochanganyika na kiswahili kibovu aise.."vinzuri" "wadisia" "washauli" etc. Inaboa smtmz
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom