Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

Eti jiji la mwanza wanalifananisha na kaarusha kweli!!!! Kuhusu kamoshi yani hapa ndiyo wanalinivunja mbavu haswaaa eti ipewe jiji while kahama imeendelea kuliko kamoshi but tumetulia wala ha2jicfu na kujigamba.
Jifunze kuwavumilia wenyeji wa Moshi
Ni watu wa makelele na kujikweza
 
Sio sahii,ni kimji kidogo tu tena Chenye barabara moja ya kuingilia Mjini na moja ya kutokea tu,na sehemu kubwa ya
Mji haijapangiliwa(viwanja havijapimwa)ukiacha sehemu chache km njiro
awa wauwaji wa albino wanatabu sana🤣
hebu niambie iyo barabara moja ya kuingilia mjini ambayo magari kutoka dar nairobi na dodoma yanaingilia
 
awa wauwaji wa albino wanatabu sana🤣
hebu niambie iyo barabara moja ya kuingilia mjini ambayo magari kutoka dar nairobi na dodoma yanaingilia

Hata mimi csapoti mauwaji ya albino. Haya kwa upande wenu wachagga matukio gani yanawahusu??
 
Hata mimi csapoti mauwaji ya albino. Haya kwa upande wenu wachagga matukio gani yanawahusu??
tatizo watu wa mwanza wengi mnatoa hoja kwa mihemko mtu anasema Arusha wote ni wala mirungi hajui kule kuna masheikh na wachungaji??
ukijibu kwa hoja tutakujibu kwa hoja
ukitujibu kwa mihemko sisi ndio wataalamu wenyewe wa propaganda sasa🤣🤣
 
m

Mdazi popote ulipo kunywa soda ntalipa
Mtu atutukanie mkoa wetu na wazazi wetu tumuache salama
Lazima aone thread ya moto🤣
Akisikia Arusha kuwa juu anaumia hadi anatukana mara apost picha za mji wao unajengwa stendi mara soko dah
Lazma litoke pepo
 
tatizo watu wa mwanza wengi mnatoa hoja kwa mihemko mtu anasema Arusha wote ni wala mirungi hajui kule kuna masheikh na wachungaji??
ukijibu kwa hoja tutakujibu kwa hoja
ukitujibu kwa mihemko sisi ndio wataalamu wenyewe wa propaganda sasa🤣🤣

Yah co wote 🤣🤣 hata upande wa ukatiri, ulevi na ujambazi co wachagga wote.
 
Barabara ya kilimahewa to nyasaka.
Barabara ya sabasaba buswelu via kanyerere
Barabara ya kisesa usagara
Barabara ya nyakato busweru to kahama
Barabara ya iseni to sauti
Barabara ya mkuyuni butimba nk nk

Zipo barabara nyingi sana mwanza
Mwanza naijua vizuri sana na pia Arusha.

Kwa Mwanza ni barabara 3 tu zilizojengwa kwa kiwango kizuri cha lami hizo zingine ni pasua kichwa.

Hizo barabara 3 ni ya kuanzia CCM Mkoa hadi Airport na kuanzia Sabasabsaba hadi Buswelu na ya kuelekea Malaika Beach Hotel angalau kiasi fulani
 
Umenichekesha ila haifikii Mwanza kwa vijumba vingine viliivyopo kwenye vimilima vya kwenye Jiji
nyumba zao hizi

IMG_20211125_101848.jpg
 
Ni miaka 10 tu imepita tangu mji huu maarufu kama Geneva of Africa utangazwe kuwa jiji.

Kutoka kuwa mji wa 9 kwa wingi wa watu hadi kuwa mji wa 3 kwa sensa ya mwaka 2012 na halmashauri ya jiji ya pili kwa wingi wa watu, lakini licha ya upya wake.

Lakini ndio jiji lenye hospitali nyingi za Private kwa uwiano wa watu kuliko mji wowote Tanzania.

Ndio wilaya inayoongoza kwa Ufaulu kwa matokeo ya shule za msingi na sekondari kwa miaka minne mfululizo.

Arusha pia ina hoteli 5 zenye hadhi ya kimataifa.

Arusha inahudumiwa na viwanja viwili vya ndege.

Arusha ndio mji wa pili kwa kuwa na largest foreign community nje ya Dar same as real estate licha ya kuwa na moderate population.

Bila kusahau leisure facilities, shopping centers, office za kimataifa na hali ya hewa ya kustaajabisha inayoufanya mji huu kupokea asilimia 80 ya wageni wote wanaotembelea nchi yetu.

Je, ni sahihi kusema Arusha ndio sehemu bora zaidi ya kuishi Tanzania.

View attachment 2038839

View attachment 2038840

View attachment 2038841

View attachment 2038842

View attachment 2038843
.

View attachment 2039251
Arusha pia ndio Jiji lenye pisi kali Tanzania
 
Back
Top Bottom