Semahengere
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,186
- 1,955
Jifunze kuwavumilia wenyeji wa MoshiEti jiji la mwanza wanalifananisha na kaarusha kweli!!!! Kuhusu kamoshi yani hapa ndiyo wanalinivunja mbavu haswaaa eti ipewe jiji while kahama imeendelea kuliko kamoshi but tumetulia wala ha2jicfu na kujigamba.
Ni watu wa makelele na kujikweza