Saga la Makonda: My Take

Umetumia neno "APPROACH' tuliposema kwenye issue ya madawa hamkutuelewa.. Anyway acha wapigane wenyewe kwanza. Nasubiri ripoti ya Nape, baada ya hapo watandikane weeeee AF baada ya hapo upinzani unaanza tena

Mimi mbona hata hiyo approach ya Makonda kwenye madawa ya kulevya niliipinga na kuilaani...

Najua jinsi nchi za wenzetu huko wanavyofanya kazi kuhusu hayo mambo.

Najuana ex convicts ambao walikuwa nyuma ya nondo kutokana na masuala ya mihadarati.

Najua jinsi vice squads za wenzetu zinavyofanya kazi.

Kwa hiyo mimi si mmoja wa watu ambao walibariki approach ya Makonda.

It was no just amateurish. It was downright stupid.
 
Wewe ni mjinga kweli kuna ccm gani zaidi yako ambao watasapoti alichofanya clouds?
achilia mbali vyeti feki!

Ila amwache tu tuendelee kupata zile za moto moto kutoka magogoni!
kwasababu mule mule ndani kuna wengine hawapendi ujinga huu
Leo mmekuwa watetezi wa CLOUDS ?

- Ulimwengu na Walimwengu -
 
cc: mwigulu nchemba
mkuu hivi upooo mbona husikiki kabisaaa?? kulikoni!!!
hebu toa neno kidogo na wewe uckike angalao uonekane unawajibika kuliko kumute!!
hawa jamaa waliozama ndani ya kituo cha redio c ni vijana wako?/ je unatuambia nini wananchi? umewatuma etiee??
 
Na tatizo kubwa la CHADEMA, Wanatumia nguvu na uwekezaji mkubwaaa kupambana na Makonda ambaye siyo mwanasiasa na wala hagombei 2020. SUBIRIA Watakavyopokea PIGO LA HAJA 2020 Ndo watakufa kabisa
kwanni mnaweka uchama kwenye mambo ya kusimamia utawala wa kisheria na katiba hapa tanzania ssa hta kma kwei chadema wangekuwa ndio wanashkilia bango hili je kma tuhuma ni za kweli ndo hatia zisichukuliwe??? ila angesema ccm ndio sawa eti??? kwani toka lini msukuma au nape wapo chadema dah acheni uchama kwenye mambo ya kitaifa
 
Sahihi ...hata mimi ningeshangaa anko asikilize kelele za mitandaoni ....na kupangiwa na gwaj....nini cha kufanya

....Ni ajabu kwamba viongozi wetu wamekuwa mstari wa mbele kusema mimi ni kiongozi wa wote bila kujali vyama, dini wala itikadi, pia wameendelea kusema tutadumisha utawala wa sheria, kufuata haki na nidhamu. Kwenye majukwaa wamehubiri wafanyakazi wawe watiifu, waadilifu, wapewe vyeo kulingana na viwango vyao halisi vya elimu, wale wenye vyeti feki wamekemewa na kuchukuliwa hatua n.k.

Sasa maajabu ni kwamba jambo ambalo wamelianzisha wenyewe, kwa kuwa tuu sasa limewagusa wateule wao wa karibu, linaonekana ni habari za mtandaoni, ni kelele tuu, ni udaku...this is double standard of the highest order. Hivi issue ni habari kuwa ya mtandaoni au ni ukweli wa habari yenyewe? Asilimia kubwa ya watanzania ni vijana, ambao their main and quick means of communication is social media....mlitaka waandike barua au makala kwenye gazeti la uhuru au Mzalendo kama enzi za akina Kingunge? Hivi bila mashinikizo mambo huwa yanaenda kweli kwenye hizi nchi zetu? Je huyu mkuu wa mkoa ni kwa kwanza kushinikmizwa ili aachie ngazi? why him so special? Akina mzee mwinyi si walishinikizwa na wakaachia ngazi alipokuwa waziri enzi zile? Sisi ni binadamu na huwa tunafanya makosa, ikiwemo kuteuwa wateule wetu kimakosa au kwa kupewa taarifa ambazo si sahihi, so tusione kwamba tunaposhinikizwa maana yake tuko weak.

Lakini kama tunaona sisi ni miungu na hatukosei, na kwamba hakuna wa kutupangia au kushauri is well and good but pia tuwe tayari kusimama mbele na kuwaambia wale tuliowatumbua kwa makosa hayo hayo kwamba tuliwakosea.
 
Hivi hakuna sheria ya kulazimisha watu wakapimwe akili? Kuna viongozi wawili Nina wasiwasi na afya za vichwa vyao
 
Mkuu heshima kwako....

Kwa mtizamo mdogo unazani who is the winner?

Upande wangu nadhani maadui wa Magu au hii serikali ya awamu ya 5 ndio washindi.

Yes, wameshinda...
Kwa hili la Rais kumbakiza Mh. Rc itazidi kuwapa agenda wapinzani wake,
Yani ni hivi...... Kichaka huanza kuungua na baadae pori zima hupokea moto.
Kama ukiwai kukizima kichaka basi itakuwa umenusuru pori zima.

Any way.....
Msalimie Mangekimambi na umwambie Daudi bado sana...
 
Kwa hiyo watu waufyate, waache kupaza sauti kukemea maovu ili tu kuridhisha "ego" ya sijui nani? Watanzania walimchagua ili wamridhishe ego yake? Hao watu wanaotukana matusi ni asilimia ngapi ya watanzania? Kuna mahali aliwekeana mkataba na watanzania kwamba kama kuna watanzania watamkosoa yeye na uongozi wake kwa njia ya matusi basi yeye atasimama kidete kuwakomoa watanzania wengine wote...? mpaka hapo wale wale wachache wanaomtukana watakapokoma? Eti hayupo tayari kukubali shinikizo la watanzania wanaomkosoa... chaaaaaaa
 
Ili mradi ameamua kuingia vitani na wananchi wake mwenyewe manake unasema wapinzani wapinzani wa safari hii ni wale wa ccm na wa upinzani so upinzani dhidi ya ujinga wa Magufuli na Makonda umevuka mipaka yaani kwa sasa wote hawana legitimacy ya kuongoza mtu yeyote ,wamekosa authority ni mbaya kwao na mbaya kwa nchi sasa kama wana energy ya kupambana na wananchi tutaona maana baada ya leo wengine wataibukia mahakamani kesho kwa hiyo hili la mapenzi yao na ukabila wao hayaishii hapa the whole nation is against this two loosers
 
By the time anaamua kumtumbua (baada ya kusubiri ''drama'' zipungue) inaweza kuwa too late na damage kubwa itakuwa imeshafanyika kwa reputation ya mzee.
 
Umeongea ukweli nataka kuona uanaume wa Magufuli na Makonda dhidi ya wananchi katupa mailage ya kumchambuwa uwezo wake wa kutawala bora angemezea aongee mambo ya kufunguwa barabara badala ya kwenda na kutusuta wananchi mitandao si ni njia ya mawasiliano
 


Wananchi gani hao unaowaingelea? Wauza Madawa ya kulevya Mbowe, Tundu Lisu, & Co.?
 
Aendelee kukaa naye , mwisho wa siku watanzania , watamuelewa vizuri .. Ahadi zote zilikuwa kupata nafasi ya kuingia, baada ya kuingia ndani anafanya anavyotaka.. Hatakuwa na ajenda tena.. amejimaliza mwenyewe. Kinachoshangaza , hata CCM wamefyata mkia.
 
Wewe ni HAKIMU ?
 
Ugumu na uchungu anaopata Rais kumfuta kazi Bashite ni sawa na ugumu anaopata baba mwenye nyumba kumfukuza kazi housegirl anayelala naye.
 
Wala
Mkuu,kukuelewesha tuu,wanao pambana na magu sio upinzani,bali ni umma wa watanzania.

Chunguza ni mara ngapi viongozi wa upinzani wanatoa matamko katika matukio,ni mara chache sana
sio Umma wa Watanzaia hebu acha kupotosha ni Wapinzani na Wauza madawa ya kulevya. Badili biashara ndugu yangu. Short Cuts hazina nafasi awamu hii! Sasa huwezi suburi mpaka 2020?!?!2025!!
 
Labda shilawadu ni TBA who knows that[emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…