Saga la Makonda: My Take


mbona hakamatwi na amevujnja sheria?
yani huyu dogo kila sehem anaharibu tu afu anaangaliwa tuu
 

Attachments

  • MAKONDA.JPG
    40.3 KB · Views: 39
Kwahiyo haki isichukue mkondo wake kisa tu RAIS ANAUMIA NA MATUSI??? hivi ina maana kma mtu kaua na ushahidi upo then watu wakaanza mtukana jaji eti apindishe hukumu na kumuchia huru kisa tu AMEUMIA NA MATUSI?? yaani inafkia stage na ssi watanzania tunaweka conditions ya haki kutolewa???

afu kwanni uchama kila kitu kwani makonda kabanwa na upinzani tu ama huyo msukuma mpinzani??? nape mpinzani?? dah kwa aina hii ya thinking naona itatuchukua miaka 50 kufkia maendeleo ya kweli
 
Mkuu,kukuelewesha tuu,wanao pambana na magu sio upinzani,bali ni umma wa watanzania.

Chunguza ni mara ngapi viongozi wa upinzani wanatoa matamko katika matukio,ni mara chache sana
Wonders shall never cease asee

Watanzania tunapenda sana kuishi kwa imani na hisia, No wonder kina Gwajima wanatajirika kila siku
 
Hatari iliyopo nipale team madawa ya kulevya wanaofikiri steling wa filamu wamesha mmaliza kumbe uliyezani kafa sasa hajafa, na anakuja sasa mjiandae. anakuja akiwa na mbinu mpya .
Nasikia askofu saizi kazimia baadaya ile hotuba pale Ubungo.
 
Clouds nao wapinzani? Kweli tz ya vwander
 
Nilishawaambia hawa wote ni wapiga deal.... ni ngumu sana baba jeska kumtumbua bashite wakati deal zote wanacheza pamoja....mtasubiri sana
 
Umetumia neno "APPROACH' tuliposema kwenye issue ya madawa hamkutuelewa.. Anyway acha wapigane wenyewe kwanza. Nasubiri ripoti ya Nape, baada ya hapo watandikane weeeee AF baada ya hapo upinzani unaanza tena
 
Yaani hapo baba mkuu na mwanaye mpendwa anayependezwa naye wamebanwa kwenye kona.
Nadhani inayotafutwa ni exit strategy tu. Ukweli upo hadharani.

Credibility ya DAB na baba mkuu mwenye enzi ni all time low.
 
You have said it all mkuu,

Huwezi kumtukana Rais halaf utegemee akusikilize interests zako
Kwahiyo haki hutendeka mpaka mtu flani awe na moods?? yaani jambazi likiiba na silaha eti kwakuwa polisi tunawatukana basi ndo wasimkamate??? dah uve made my day mkuu am just speechless
 
Ule ukanda na ukabila wa chadema umehamia huku!

Hahahhaha Chadema haina UKANDA ndugu.Muangalie Mwenyekiti wako wa Chama cha Majipu.Real majipu anaendelea kuyapuliza,ila hajui huwa yanatumbuka yenyewe yakishaiva
 

We mwenyewe ni wa kupuuzwa,,kwa hiyo kila anayempinga Makonda ni mpinzani
 
Kwahiyo rah..isi kabariki kila kilichotokea usiku wa Ijumaa?
 
Tulishaandika na bado tunarudia tena! Nchi haiongozwi na posts za Instagram! Ukawa sijui kwanini hamtaki kuelewa?
 
Mkuu kwenye hii thread kaelezea vizuri sana.

Kuna watu wanatumia watu wengine kuendesha hii vita ya kuakikisha Makonda anatumbuliwa. Lakini kutumia hao watu ndio kumemfanya Makonda hasitumbuliwe!
Suleman aliomba hekima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…