Saga la Makonda: My Take

Great!
 
Wauza unga ndio walimwelekeza atumie cheti kisichokuwa chake?
Ndio walimpeleka clouds media na maaskari wenye slaha usiku?.
 
Kwa hiyo vyeti katafutiwa na aliyemuwea?LB7 mmekosa cha kuandika
Wewe ke.nge kuwa na adabu, LB7 ni bibi yako na waliokuzaa, mimi sio hao mbuzi unaotaja na kama hujui kusoma nenda jukwaa la watoto, hebu soma tena halafu shika adabu yako, kwanza huu ni muda wa kufanya kazi mlizopewa na walimu wenu huko shule
 
Kwamfano Makonda akijiuzuru nini kitafuat?mtapata nini?ebu fuatilia orodha ya waliojiudhuru pamoja nà kutumbuliwa unafikiri imesaidia kitu?
 
mwanzoni mchana wa leo watu walionyesha mihemko ya kila aina, hasira za kila namna.... ila watanzania nawapa siku 2 tu zinatosha kusahau yaliyopita na kuganga yajayo.....

hii si mara ya kwanza kwa huyu bwana kuonyesha ukatili, kiburi na matumizi mabaya ya madaraka, kiufupi huyu mtu si wa mchezo mchezo, ni kisiki kweli kweli....

ili la makonda litajifia lenyewe kama lile la hit and run la mtemi wa bariadi maarufu kama mfalme CHENGE
 
Nilishasema hapo kabla kuwa Rais wetu anahitaji kushauriwa kwa staha!Wengi hawakunielewa.
 
Wauza unga ndio walimwelekeza atumie cheti kisichokuwa chake?
Ndio walimpeleka clouds media na maaskari wenye slaha usiku?.
Wewe ndie uliosoma kuanzia kote huko hadi Chuo cha Ushirika Moshi,kutumia vyeti kwa ajiri ya kurudia hapo siku za nyuma ilikuwa jambo la kawaida tu na sio Makonda ndie alianza
 
bashite bashite bashite, magu magu magu magu, samahani nataka kutunga wimbo
 
Wewe ndie uliosoma kuanzia kote huko hadi Chuo cha Ushirika Moshi,kutumia vyeti kwa ajiri ya kurudia hapo siku za nyuma ilikuwa jambo la kawaida tu na sio Makonda ndie alianza

OK tuelekeze hiyo tuifanyie standardization IPI ili wengine wasionekane hawana vyeti ( wajukuu wa mungu) na mako ( mwana wa mungu) aonekane anavyo?
 

hakuna wa kumshauri Mange uko insta

kuwa aache kumshambulia rais!!
 
Mipasho madhabahuni,matusi mtandaoni na drama magazetini.
 
Huku mnakesha mitandaoni kushinikiza makonde atolewe ukuu wa mkoa.....afu unalalamika kuna njaa mtu mda mwingi anasubiri kuona mange kapost nn mara gwajima utapata mda kwl wa kujitafutia riziki......
sina lakukujibu beba ujinga wako tu
 
Kwahiyo tuwwache tu, wafanya wanayojickia, watu wasiseme?! Kwn ndio kawa Mungu kweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…