safety boota

safety boota

Escoba

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
75
Reaction score
18
guys kuna mtu anafahamu wapi wanauza safety boots hapa dsm .
 
Check pale Morogoro road opposite na Rainbow Hotel wanazo nzuri sana, pia kariakoo kwenye maduka ya vifaa vya ujenzi zipo za kumwaga.
 
Rainbow hotel ipo wapi mwana au karibu na wapi, watakua nazo za jumla mana nataka piece nyingi
 
viatu vya usalama,vipo vingi mtafute mfanyakazi wa tanesco atakufanyia mpango.
 
iko karibu na makutano ya Samora na Morogoro road wanauza jumla mi huwa nanunua hapo wanazo nzuri sana na bei iko fresh, kama uko serious nikupe namba yao.
 
yah naomba namba nipo serious afu kesho ntaenda mwenyewe nichek
 
viatu vya usalama,vipo vingi mtafute mfanyakazi wa tanesco atakufanyia mpango.

thanks mkuu, natafuta wanakouza jumla na bei iwe nzuri mana nataka ya bihashara, mfanyakazi wa tanesco atasaidia hapo!
 
Back
Top Bottom