majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 814
karibu kabisa na stendi ya ubungo kuna hoteli ya 30,000/= na ni ya kiwango kizuri. nafikiri inaitwa kidamo hotel. ukiwa ubungo bus stand unaiona.Wana MMU, hasa wa Dar na Dom. Ninasafari ya Dar, Naombeni kujua hotel/lodge nzuri jirani na Stendi ya mabasi ya mikoani. Iwe ya bei ya wastani kama shilingi 20,000 hadi 30,000 kwa siku. Iwe jirani na chakula kinapopatikana na pia isiwe vichochoroni.
Pia Lodge yenye sifa hizo hizo kwa Dodoma.
Msaada wenu, marafiki
Duuuh....Nilishalala hapo lunch time baada ya kushawishiwa na ile mitaa taa na majengo huwezi amini nililipia 35000 alafu Maji naletewa na ndoo. Daah pale hapana aise
Hahhahahaaaa sikutaka kulisema hili halafu ukichelewa breakfast zaidi ya saa tatu unalipia
Hahahaa.....Kwanini asikupitie umsaidie kumpeleka pale mkuu
Mkuu Ambiance kule kwenye vyakula vya wanaume?Ambiance au corner bar patakufaa sana.
Kweli kabisaa tiptop vingi saana mazingira Yake ndani sinashaka nayo ila wakat Wa kwenda na kurudi mmmmmhTip tipo kweli vilodge vipo vingi lakini mazingira sio mazuri mkuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ukishuka ubungo elekea moja kwa moja mpaka sinza kisha tafuta lodge au hotel nzuri kwani zipo karibu na stand.
Kuanzia elfu 30 unaweza kupata chumba kizuri.
Ukikosa njoo mpaka mwenge ulale kwangu bure na breakfast asubuhi, maisha kusaidiana.
Kwanza pananukaaaKweli kabisaa tiptop vingi saana mazingira Yake ndani sinashaka nayo ila wakat Wa kwenda na kurudi mmmmmh
Teh Teh.....anywayKwanza pananukaaa
Acha kijitowa akili, soma thread uelewe content.....choose any hotel in town Beauty Eva , I will pay for you, just be my guest...
Matola,wewe unasema hujakanyaga Manzese kwa zaidi ya miaka kumi. Sasa kwa kkipindi hicho chote kuna mabadiliko makubwa sana ya miundombinu especially kwa mkoa wa Dar tena ktk awamu mbili zilizopita. So Manzese unayoijua wewe siyo ya sasa!Mkuu mimi ni mzawa wa Dar, nimeshindwa kumuelewa Mshana Jr ni Manzese ipi hiyo nisiyoijuwa mimi mpaka uniconvice kwenda?
Mkuu mimi ni mzawa wa Dar, nimeshindwa kumuelewa Mshana Jr ni Manzese ipi hiyo nisiyoijuwa mimi mpaka uniconvice kwenda?
Hata buguruni na vingunguti kuna mabadiriko makubwa ya miundombinu baada ya kunufaika na mradi wa World bank wa DMP, but/lakini buguruni itabaki kuwa buguruni na uswahili wake halikadhalika na Vingunguti pia.Matola,wewe unasema hujakanyaga Manzese kwa zaidi ya miaka kumi. Sasa kwa kkipindi hicho chote kuna mabadiliko makubwa sana ya miundombinu especially kwa mkoa wa Dar tena ktk awamu mbili zilizopita. So Manzese unayoijua wewe siyo ya sasa!
Erado natron hadhi yake sinza nzima hamna yaani huduma bora kwa Tsh 35,000 na breakfast juu huwezi ifananisha na zile taka taka, za sinzaMatola hapana umeshafika JM hotel? Eraldo Natron je? Silver? Mahanju Inn? Nk nk hizi zote zipo Tiptop ni nzuri zina viwango na bei imepoa
Madhara ya kukariri, sinza ya sasa ni uswahilini kuliko tip topMkuu samahani kama nitakukwaza mimi naishi uswahilini lakini ukishanitajia tu Manzese au Tandale kwakweli mimi hapana.
Sinza ina ustaarabu wake mkuu, ndio maana hizo hotel ni nzuri lakini haziwezi kuwika kwa sababu ya location zilipojengwa.
Sinza itabaki kuwa Sinza tu.
Asante sanaNakushauri nenda Jm hotel manzese pazuri kuna vyumba vya kuanzia 20 25 30 bed and breakfast restaurant ipo ukitaka msosi unatwanga tu simu pia kila siku kwa wale wasafiri wana gari ya kupeleka wateja stand ya mabasi
Hapa unachanganya madesa, hata porini kuna lodge nzuri tu, ili tusibishane sana weka kiwanja tip top na weka kiwanja Sinza kwa ukubwa uleule na bei ileile utapata jibu sahihi.Erado natron hadhi yake sinza nzima hamna yaani huduma bora kwa Tsh 35,000 na breakfast juu huwezi ifananisha na zile taka taka, za sinza
Hata gazeti la Uhuru la leo wameandika Dar kugeuka Dubai!!Madhara ya kukariri, sinza ya sasa ni uswahilini kuliko tip top
Mimi sikai sinza wala manzese hapa mjini ila kwa ukweli sinza ya miaka hii inaboa sana wizi nje nje. Sinza ina vijana wengi ambao hawafanyi kazi wanategemea udokozi, ukipak gar tuu wanakomba spare zotee. Hata ukitoka usiku ukienda kwenye mziki hakikisha haurudi usiku jirudie asubuhiHapa unachanganya madesa, hata porini kuna lodge nzuri tu, ili tusibishane sana weka kiwanja tip top na weka kiwanja Sinza kwa ukubwa uleule na bei ileile utapata jibu sahihi.
Yaonekana wewe ni mdau wa Manzese, usipanick Manzese hata siku moja haiwezi kuwa na thamani ya Sinza.
Wizi wa vifaa vya magari ni tatizo la jiji zima, kama matukio hayo yanatokea sana Sinza itakuwa ni kwa sababu Sinza ni sehemu ya matumizi na wale wanyori watakuwa wanatoka maeneo mbalimbali kwenye kupiga timing zao Sinza.Mimi sikai sinza wala manzese hapa mjini ila kwa ukweli sinza ya miaka hii inaboa sana wizi nje nje. Sinza ina vijana wengi ambao hawafanyi kazi wanategemea udokozi, ukipak gar tuu wanakomba spare zotee. Hata ukitoka usiku ukienda kwenye mziki hakikisha haurudi usiku jirudie asubuhi
Ndio maana nikatoa mwaliko waje wajioneeErado natron hadhi yake sinza nzima hamna yaani huduma bora kwa Tsh 35,000 na breakfast juu huwezi ifananisha na zile taka taka, za sinza