EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,119
- Thread starter
- #61
Dah bahati mbaya sana nimekuja kukugundua nshaondoka but we ndo ulikuwa wa kutafutwa kwa kweli (PPF Njiro au vile vi apartment vya Kaloleni) Ila next week nikija ntakusaka kwa kila mwanga iwe wa jua, mwezi au hata wa zile taa za mianzini au pale standkakwambia nani mi nakaa mavumbini kwa msola?mtt kitu cha PPF lione,unadhani mm wewe?kwanza wewe utakua unakaa kambi ya fisi tu lazima coz muonekano wako ni wa huko!