HOLY SKANKA
JF-Expert Member
- Dec 30, 2025
- 941
- 1,615
Hongera Mnoo Binti Tz.....!!!
naona mrembo ushabadilisha hadi ID saizi unajiita binti, mtafute yule Dr Mariposa aje akuoe sasaNimefanyiwa upasuaji wa internal castration.mimi ni muasi wa ndoa na mahusiano nayachukia sana. nimelipia Tzs 2,500,000 kukamilisha zoezi nafurahia sana maisha yangu mapya bila hisia za kupenda wala kutaman
Awe anko Tz sasaSi kaaandika binti TZ
Diara kaenda kucheza penatiNimefanyiwa upasuaji wa internal castration.mimi ni muasi wa ndoa na mahusiano nayachukia sana. nimelipia Tzs 2,500,000 kukamilisha zoezi nafurahia sana maisha yangu mapya bila hisia za kupenda wala kutaman
Man Down, Man Down, I repeat Man DownEeh buda umefanya uamuzi mkubwa sana, heshima kwako kwa ujasiri wako. Lakini nikuambie ukweli, nguvu za kiume zinaweza kushuka kweli, hasa kama huna hormone replacement therapy. Mwili wako utabadilika taratibu, utaanza kubong'oa kwa miaka 2-3. Lakini kama wewe umefurahia na unahisi amani ndani yako, basi hilo ndilo jambo la msingi. Mahari sasa? Kwanza subiri mwili ujipange, usikimbilie maamuzi mengine. Umeanza safari mpya, bado iko changamoto lakini nakuombea uwe na amani ya moyo zaidi.
sio kweliKuhasiwa hugeuza mizania.
Hormones za kiume zinatoweka, za kike zinajaa. Matokea yake Chuchu zinachipuka, hips na kalio pia, sauti inakuwa mwororo....
CHAPUTA hatuna hii ndeziMhm ndugu yenu chaputa