Habarini ndugu zangu, ni matumaini yangu mpo fresh.
Mimi ni kijana mhitimu wa chuo ngazi ya degree.
Nimekuwa obsessed kuhusu kubadili uraia wangu kutoka ubara kwenda uzanzibar, Hii yote ni kwa sababu najionea wazi wazi warafiki zangu wazanzibar tuliofahamiana vyuo mbali mbali waliajiriwa muda mfupi baada ya kuhitimu na wengi wanafanyia kazi huku bara na wengine wapo katika taasisi za Zanzibar huko kwao, Nadhani hata waliopitia Jkt wanaelewa nachozungumzia.
Kwa lugha nyepesi, kuwa Mzanzibar ni tiketi nzuri sana hasa ukiwa na elimu bila kujali ulisoma chuo gani au ufaulu, maana nlipewa dokezo hta katika ajira za huku bara, kuna kipaumbele cha ajira asilimia 21 kwenda kwa wenzetu, na bado waombaji huwa hawafikii hio idadi maana wenzetu wanaohitimu vyu ni wachache na elimu bado ni haipewi sana kipaumbele huko kwao.
Sasa katika safari yangu hii nmekutana na mtu wa makamo kidogo kaniomba fedha taslimu ili anifanyie mchongo na mimi niwe na uraia wa Zanzibar.
Pesa niayo na nimeitafuta kwa jasho sana, ninahofia tu kama nitapigwa.
Naombeni mnishauri tafadhali, Miaka inaenda kwakweli, nimeona lau nikipata uraia wa Zanzibar itanirahishia kupata ajira na mimi nile mema.