Kuna mwenza huko anashusha story ya Congo drc Sasa ajitaid. Aendane nae kwa Kasi moja ilikusud wakt yule anafuturu na yey ashushe sehemu yake ili waende tofauti tofauti ...au nasema uongo ndugu zangu
Unalalama kama vile unamlipa mtoa mada, ubinafsi tu.Maneno maneno meeeeengi ya kitoto yanapoteza maana ya story. Huwez simulia tu bila kuweka maneno ya kipuuzi kuifanyà iwe na urefu usio na sababu? Story ingekuwa imeshaisha ila una irefusha pasipo sababu za msingi. Usitaje iwe ya kuchekesha kwa kuweka ujinga ujinga.
nitag hyo story ya congo ndugu yanguKuna mwenza huko anashusha story ya Congo drc Sasa ajitaid. Aendane nae kwa Kasi moja ilikusud wakt yule anafuturu na yey ashushe sehemu yake ili waende tofauti tofauti ...au nasema uongo ndugu zangu
Mama angu mdogo ni ummy mwalimu nadhani taarifa zake unazo vzuri tu mkuuNatak nimfatilie mamaako mdogo
Hana story aishie zake huko huko. Asubirie tena msimuliaji akiwa na muda amsilimulie halafu yeye aje kuandika kama yake.hii story ni ya mchizi wetu Kinky BontaUnalalama kama vile unamlipa mtoa mada, ubinafsi tu.
Kumbe, watu wezi sanaHana story aishie zake huko huko. Asubirie tena msimuliaji akiwa na muda amsilimulie halafu yeye aje kuandika kama yake.hii story ni ya mchizi wetu Kinky Bonta.
Nimehamia Kurasini kota mwaka 97 kutoka Iringa mtu alikua ananiambia twende basi Iringa jioni turudi kwani tukitembea tunafika saa ngapi?, maswali ya namna hii yalikua mengi sna kwa watoto wa kota enzi hizo, mwandishi nakuelewa sana unapihadithia hata kimara kwa uliku hujui chochote na usikute hata huko gaborone walijua ni safari ya siku moja🤣🤣🤣🤣🤣 mwaheni aandike kwake it was part of adventure ya safari yake kwa sababu kote huko ilikua ni mara yaje ya kwanza kufika🤣🤣🤣🤣🤣Nitazingatia mawazo yenu, kama mlivyojichagulia hapa, ijapokuwa najua mtakosa mambo mengi muhimu na nyeti zaidi niliyopanga kuwafunulia hapa.