MwanazuoniMJ
Member
- Nov 28, 2012
- 66
- 30
Habari wakuu. Nimepata kupitia maoni yenu mengi hapa. Wengi wenu mnaonesha mnataka habari hii iwe fupi zaidi, yaani ni sawa na niseme tulifika tunduma kisha Zambia, alafu Zimbabwe na mwisho Botswana? Na hapo ndipo uwe mwisho wake?
sitakuwa na maana yoyote kama nitaandika kwa uchache angali nayaacha gizani mambo muhimu yenye yamenifanya niandike haya.
Nasubili mrejesho toka kwenu. Ahsanteni sana
Tiririka mzee babaHabari wakuu. Nimepata kupitia maoni yenu mengi hapa. Wengi wenu mnaonesha mnataka habari hii iwe fupi zaidi, yaani ni sawa na niseme tulifika tunduma kisha Zambia, alafu Zimbabwe na mwisho Botswana? Na hapo ndipo uwe mwisho wake?
sitakuwa na maana yoyote kama nitaandika kwa uchache angali nayaacha gizani mambo muhimu yenye yamenifanya niandike haya.
Nasubili mrejesho toka kwenu. Ahsanteni sana.
Ameelekea chato mazeeMalizia haraka ndio nianze kusoma yote.....mambo ya kusoma nusu nusu wakati hatujui mzee JOBO anajikoki vip..sitak
Teh teh teh...
Endelea mzee wangu maana tunajifunza mengi kupitia hizi simuliziHabari wakuu. Nimepata kupitia maoni yenu mengi hapa. Wengi wenu mnaonesha mnataka habari hii iwe fupi zaidi, yaani ni sawa na niseme tulifika tunduma kisha Zambia, alafu Zimbabwe na mwisho Botswana? Na hapo ndipo uwe mwisho wake?
sitakuwa na maana yoyote kama nitaandika kwa uchache angali nayaacha gizani mambo muhimu yenye yamenifanya niandike haya.
Nasubili mrejesho toka kwenu. Ahsanteni sana.
Temeke Ni njia panda ya kwenda sauzi.. njia panda ya mabaharia.Kwa io watoto wa namba 5,mivinjeni,ufundi,barracks,shimo la udongo ad keko machungwa,mwanga,kariakoo ndogo, wote mlikuwa na ndoto za kusepa.....Sema dah TMK 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kwa nini usiandike yako yenye nyama, badala ya kudandia kusahihisha za wenzako?Hua sio mkatisha story Wala kumvunja moyo mpiga story Ila nakuomba kunavitu vingi unatia nyama ambavyo sio vya maana vipunguze mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huu uzi ulipaswa kuisha kwa episode 2 au 3.
Isipokuwa anachofanya mwandishi ni kuingiza maelezo mengi ambayo siyo ya lazima sana.
Mfano angalia episode ya 1 na 2, akitaja eneo la hapa Bongo mfano mwenge mataa anataka elezee hapo mwenge mataa kuna nini, aelezee mpaka wauza magazeti hapo,,aelezee mama lishe, aelezee vibaka, haya yote ni kurefusha stori.
Issue ni safr anapaswa kunyoosha safr ilivyokuwa basi, lakini asilimia 95% ya maelezo yanazunguka hapa hapa bongo tu.
Endeleeni tu hizi tabia za kuanzisha uzi kupima upepo Mungu asaidie huu uishe salama.
We nae kuwa mwanaume mtindo wa kususa susa sio wa kiume, haya sasa ndio unamsusia nani, ukisusa lengo(dhamira) ya kuleta uzi wako utakuwa umelifikia," Huwezi kumfanyia jambo jipya msafiri au mtu aliyepitia misukosuko ya kila namna.
Ni sawa na bure kabisa kumlewesha aliyelewa"
Nitazingatia mawazo yenu, kama mlivyojichagulia hapa, ijapokuwa najua mtakosa mambo mengi muhimu na nyeti zaidi niliyopanga kuwafunulia hapa.
Namaanisha kila kitu mtaambulia juu kwa juu tu na hakuna mtakachojifunza zaidi ya makapi ya kawaida tu.
" HEKIMA NA SIRI ZITAKUFA NA WENYE BUSALA"
Tunaendelea. (Ufupi wa habari umezingatiwa.)
Baada ya kuchelewa kwa usafiri asubuhi ya siku ya kwanza pale Mafinga. Kesho yake tulifanikiwa kufika maeneo ya panapoitwa Songwe kwa sasa.
Tuliishia hapa kwa sababu ya mtindo wetu wa kuunga unga safari. Na kuna mengi muhimu yaliyotusibu wakati wa safari ya kipande hiki cha kati ya Mafinga na hapo Songwe.
Miaka hiyo hakukuwa na maendeleo sana Tanzania, maeneo mengi hayakuwa na vitu kama vilivyopo nyakati hizi.
Kuna mtu ameuliza swali kwenye komenti, akitaka kujua kiasi cha pesa tulizokuwa nazo na je? tuliifadhi vipi?
Nasikitika sita andika hapa kila kitu, ili tu wale wenye mashauri tofauti tusiwakwaze.
Kule Botswana, watu ni wakalimu sana. Watu wanaheshimu mawazo na hisia za wengine mara elfu zaidi ya ujuavyo.
Ni sawa na kutomshangaa Mtanzania mlevi aliyelowea Urusi.
Tabia zetu zinabadilishwa na mazingira tuliyopo.
Tulifanikiwa kufika border ya Nakonde. Haikuwa nzuri na salama kama sasa.
Tunduma ilitupasa tukae sana, maana kwanza hatukuwa na nyaraka zozote, pili hatukuwa na moja wala mbili kuhusu namna ya kuwasiliana kwa ufasaha kwa lugha yoyote ng'eni zaidi ya kiswahili, tatu pesa yetu haikuwa nyingi na kuibadili haikuwa kazi rahisi.
Nne tulipaswa kuwa na connection na wazamiaji wengine zaidi ili iwe rahisi kwetu kutimiza azma yetu.
Mipango si ukuta, mwenzetu mmoja baada ya kunogewa na mji na watoto wa karii pale border, aliamua kabisa kughaili safari na kutekwa na mtoto wa kinyakyusa.
Almanusura tukwame wote pale Nakonde one stop border. Haikuwa sehemu salama kabisa kama wewe sio mjanja mjanja.
Msimbembeleze. Kama hana story alale mbele..... Siyo kuleta ujinga halafu asikosoleweWe nae kuwa mwanaume mtindo wa kususa susa sio wa kiume, haya sasa ndio unamsusia nani, ukisusa lengo(dhamira) ya kuleta uzi wako utakuwa umelifikia,
We unadhani woote humu timamu, we unataka, uungwe mkono na kila mtu, hao manabii tu walikuwa wanapingwa, anapingwa messi kwenye dunia ya soka[emoji23]
Hivi vitu mbona vya kawaida hasa kwa baharia kama wewe unaesema umepitia vingi..
KUWA MWANAUMEE!!
tatizo mijitu ya Jf ni miMuch know sana mam"ae,.,Asa hicho ndo kistory gani
Kama huwez kumulia acha tu,,
Yaani maoni ya mtu mmoja ndo uharibi Uzi huu utani sasa
Jinga ww, mmeleta ujuaji wenu jamaa kafupisha storyMsimbembeleze. Kama hana story alale mbele..... Siyo kuleta ujinga halafu asikosolewe
We jamaa na wewe unazingua sasa. Mbna wadau kibao hapo juu wamekujibu kua mwaga story yote kama ilivyo, wewe unaanza kujisemesha ati sijui kuwakwaza watu gani gani." Huwezi kumfanyia jambo jipya msafiri au mtu aliyepitia misukosuko ya kila namna.