Safari yangu ya Dar Moshi kwa Boxer bm 150

Jenseny

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
1,743
Reaction score
1,743
kwa bongo bado hakuna pikpik ilosambaa na inayoweza function kama boxer bm 150 nilitumia masaa 10 kumi tu kwa boxer bm mpyaaa kutoka sinza hadi Moshi nlisimama mkata Mombo na bwiko nlikua na project huko nimefika salama na plan niende Mwanza kwa boxer hiii hiii asubuh njema bandugu

note : c lazma ucomment
 
Watanzania tunapenda sana sifa, Je ni nani alikuona ukisafiri na Pikipiki hiyo? Ubungo, Kimara, Mbezi, hadi Kibaha, na kuendelea? Tuwekee vielelezo na vithibitisho vya safari yako.
Kwanini ujitese na safari ndefu hivyo, nini lililokuwa lengo lako?
Kumbuka, Watanzania sio watunzaji wazuri wa historia, hata issue ya Lugumi tumeisha isahau, usidhani tutakuja kuikumbuka safari yako
 
Ukitumia "Cha Arusha" huku unaisoma hii thread hapa chini mbona unafika tu Moshi bila wasiwasi....!!!!

Mjadala: Basi kubwa na pikipiki vikitembea vyote kwa 120km/hr nani atatangulia?
 
Kwa bongo hakuna pikipiki kama boxer?Unaijua pikipiki hii dukati 749 S wewe?cc 800 hio dar-Moshi-Mwanza.
 
kwa bongo bado hakuna pikpik ilosambaa na inayoweza function kama boxer bm 150 nilitumia masaa 10 kumi tu kwa boxer bm mpyaaa kutoka sinza hadi Moshi nlisimama mkata Mombo na bwiko nlikua na project huko nimefika salama na plan niende Mwanza kwa boxer hiii hiii asubuh njema bandugu

note : c lazma ucomment
Ulivaa protective gears zote muhimu?
 
Safari ikiwa ndefu zaidi kwa pikipiki mapafu yanaweza kuathirika kwa upepo/baridi na mwisho wake ukapoteza maisha (tahadhari). Hata kama unavaa koti zito pikipiki sio kwa safari ndefu kiasi hicho (kuwa makini)
nlikua na project za kuangalia mashamba nliyoyakodisha nkalima ningetumia basi cost ingekua kubwa sana
Watanzania tunapenda sana sifa, Je ni nani alikuona ukisafiri na Pikipiki hiyo? Ubungo, Kimara, Mbezi, hadi Kibaha, na kuendelea? Tuwekee vielelezo na vithibitisho vya safari yako.
Kwanini ujitese na safari ndefu hivyo, nini lililokuwa lengo lako?
Kumbuka, Watanzania sio watunzaji wazuri wa historia, hata issue ya Lugumi tumeisha isahau, usidhani tutakuja kuikumbuka safari yako
 
Ulivaa protective gears zote muhimu?
Maana ukikutana na kitu kama hii,hata hako helmet ka mchina hakazuii
big_beetle_topright.jpg
 
Back
Top Bottom