Bilashaka mmepeta hospitali nzuri na yenye kutambulika Sky maana India kuna utapeli flani wa kiudalali, unadalaliwa hadi matibabu! Watoka ulipotoka unafuata hospitali uliyoelekezwa na jamaa au mitandao ukifika huko unagundua si hospitali kitu bali ni kama ka dispensary ambapo wata wa admit then wanatafuta daktari kutoka kwenye hospitali kubwa awe anakuja hapo.Mumbai mkuu
MgosiHongera sana mndele kwa kudya vya kaya
Nimefika india kwa safari ya matibabu. Mimi si nheshimiwa hivyo sikuhitaji kibali cha Kazi Ndugu Hai kufika hapa. Package tuliyopata ni accommodation na self catering. Tumekuta flat safi yenye vyuma viwili na sebule.
Katika kujitafutia mahitaji tulifika sokoni. Mboga ni nyingi mno. Kuanzia kisamvu kilichopondwa, majani ya kunde (safa), majani ya maboga (nkhoko). Yote kilichoniacha hoi ni kibwando. Kibwando ni majani ya mlenda yanapatikana Tanzania, hujiotea tu mashambani hasa katika msimu wa mvua.
Mihogo, maboga, bilinganya, nyanya chungu, mbaazi, dengu, choroko, maharage. Kwa kweli vitu tunavyokula ni sawa sawa hata matoke yapo sokoni.
Kumbe we ni msambaaHongea umbuje
Daah mpaka kibwando hio kali, halaf sikujua wewe wa TA.mchunga je upoYah lakini haija tuharibia safari mpaka sasa
A chai baria, hindustan malume?Jiji la foleni Bombay! Rupees 5 unapata mutton biliani na ukirudi nunua madawa maana huko bei sawa na bure ila angalia matapeli hasa madereva wa Bajaji
Pia na Kerala ipo vizuri sanaMumbai ni evergreen mwaka mzima, pamoja na bangarole
TogolaaaMgosi
Hebu sema kwa kihindi tafadhaliKuna siku aliniibia hivyo, nilimwbia unajua kikubwa niko salama hela inakuja na kuondoka alijisikia vibaya sana