Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
i wish Tanzania kungekuwa na akina mbowe milioni moja tusingekuwa na tatizo ajira kama yeye mwenyewe ana wafanyakazi zaidi ya mia moja, nani tanzania hii angekuwa bila ajira. wako watanzania wenye pesa kuliko yeye lakini wamezificha uswis wazungu wanazitumia kuwekeza kwenye mashirika yao(private equity) na yanawafaidisha wao.
Hujajua hali ya jimbo la Hai ilivyokuwa kabla ya Chadema kulishika, kwa maana hiyo unalinganisha maendeleo ya sasa ya Hai na kitu ambacho hujakiona. Kama ungeliona hali ya jimbo la hai enzi zile za magamba ungekuwa katika nafasi nzuri kutoa tathmini yako. Kitu unachokifanya kwa sasa ni kutuba one-sided comparison kitu ambocho hakiwezi lileta mantiki hata kidogo labda kwa chama chenu cha magamba.Nikiwa nimepata likizo fupi, niliamua kwenda mkoani kilimanjaro kwa ajili ya kupanda mlima wetu maharufu wa kilimanjaro, nikiwa huko niliweza kupata fursa ya kutembelea majimbo ya mkoani kilimanjaro ila nilitaka kuona kwa macho yangu jimbo la HAI la MH MBOWE MWENYEKITI WA CDM TAIFA! kwakweli niliyoyaona huko hayaendani kabisa na mbwembwe za huyu jamaa anayetembea nchi nzima kuhubiri maendeleo na demokrasia, vijana wa pale machine tools wamekata tamaa na maisha, mbunge wao anashindwa kufanya yale aliyowahidi, wakazi wa kimashuku mnadani wanalia shida ya maji, wakazi wa uroki hali yao kiuchumi na kipato iko mbaya, wengi wao wanalia na wanajuta kumchagua Mbowe! wengi walisema kuwa Mbowe sio kiongozi mbaya ila ni kwamba yupo bize sana na mambo ya taifa na kuwasahau wapiga kura wake! walisema kama Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa chadema, basi 2015 watachagua mtu mwengine atakayekuwa karibu nao
nilifika hotelini kwake AISHI-PROTEA HOTEL... kwakweli Mbowe ni Bepari kwa mtanzania wa kawaida kumiliki ile hoteli sidhani kama ni rahisi....wakazi wa maeneo ya pale hawawezi kwenda kuingia kwa ile hoteli, wengi niliyowaona ni wazungu na raia wengine wa kigeni, kulikuwa na umuhimu gani kujenga hoteli kubwa kule kijijini kwake ilhali wapiga kura wake hawawezi kwenda hata kununua soda au chai?
Nikiwa nimepata likizo fupi, niliamua kwenda mkoani kilimanjaro kwa ajili ya kupanda mlima wetu maharufu wa kilimanjaro, nikiwa huko niliweza kupata fursa ya kutembelea majimbo ya mkoani kilimanjaro ila nilitaka kuona kwa macho yangu jimbo la HAI la MH MBOWE MWENYEKITI WA CDM TAIFA! kwakweli niliyoyaona huko hayaendani kabisa na mbwembwe za huyu jamaa anayetembea nchi nzima kuhubiri maendeleo na demokrasia, vijana wa pale machine tools wamekata tamaa na maisha, mbunge wao anashindwa kufanya yale aliyowahidi, wakazi wa kimashuku mnadani wanalia shida ya maji, wakazi wa uroki hali yao kiuchumi na kipato iko mbaya, wengi wao wanalia na wanajuta kumchagua Mbowe! wengi walisema kuwa Mbowe sio kiongozi mbaya ila ni kwamba yupo bize sana na mambo ya taifa na kuwasahau wapiga kura wake! walisema kama Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa chadema, basi 2015 watachagua mtu mwengine atakayekuwa karibu nao
nilifika hotelini kwake AISHI-PROTEA HOTEL... kwakweli Mbowe ni Bepari kwa mtanzania wa kawaida kumiliki ile hoteli sidhani kama ni rahisi....wakazi wa maeneo ya pale hawawezi kwenda kuingia kwa ile hoteli, wengi niliyowaona ni wazungu na raia wengine wa kigeni, kulikuwa na umuhimu gani kujenga hoteli kubwa kule kijijini kwake ilhali wapiga kura wake hawawezi kwenda hata kununua soda au chai?