karibuni wabaya wa Sitta, hapa linapendwa Taifa siyo chama na kuchukiwa mafisadi. wote.
Jamaa yangu mmoja ananikumbusha kuwa aliyekubali kufa kwa ajili ya watu alikuwa yesu peke sijui kama sita ataweza kuvaa viatu vya yesu, any way lets wait and see!
Nazidi kushangaaa.......hapa cha kufurahia ni nini sasa? Huyo six, maandamano au ufujaji wa pesa kwa kukodi mapikipiki ambapo zingeweza kutumika kwa masuala mengine ya maendeleo ya wananchi? Embu tuamke wa TZ siyo kushabikia kila jambo.........
Wadanganyika mtaandamana kweli kweli mwaka huu.
Huyu mtu ambaye ameshindwa kutetea haki na ukweli, mnaandamana ili iweje?
Ningeelewa kama Sitta angewaambia CCM kwa hili chukueni kadi yenu lakini mimi nitaendelea kutenda haki na kutetea ukweli mpaka kieleweke.
Sasa huyu mtu ambaye kapiga magoti na kuomba asilubiwe, mnampongeza kwa lipi?
Spika mzima unaburuzwa na wenyeviti wa mikoa?
Nakubaliana na FMES, mwanaume alikuwa Mrema. Pamoja na mapungufu yake yote lakini yeye alikuwa tayari kusimamia mambo aliyokuwa anayaamini.
Hawa wengine waganga njaa tu; wanaogopa kuondoka CCM kwasababu wana madudu yao mengi, wakiondoka, CCM na serikali yake itawamaliza mara moja.
Nji hii ipo kwenye hatari ya kuingia kwenye janga la njaa! tayari sehemu nyingine kumepatwa na janga hili...........hawa watu wa kutoa pesa za kukodi pikipiki za kichina na kulisha watu ubwabwa kwa siku moja, si wangesaidia kununua magunia kadhaa ya mahindi wawasaidie wakina mama, wakina babu na wadogo zetu walio katika njaa?
au basi hata wajenge nyumba nne za walimu kwenye shule mbili za kata huko jimboni kwao.
Na hilo ndilo analolifanya Sitta. Maadui zake wameshaanza kuwa matumbo moto kwa sababu hawajui anapanga kufanya nini ifikapo NovembaKwenye mapambano ukiona unazidiwa lazima hurudi kwanza nyuma ukienda kichwa kichwa kama Lowasa unakwisha rafiki yangu
Mkuu wangu tujifunze kutokana na makosa.. Mimi nasema hivi toka Mrema aondoke CCM ndipo Maadili na miiko ya Uongozi ilipoanza kufa..Wadanganyika mtaandamana kweli kweli mwaka huu.