Safari ya Spika Sitta Urambo baada ya NEC August 2009

Naona CCM hiko kwenye matatizo makubwa , kama kile kilichoandikwa hapo juu ni cha kweli. Na inaonyesha dhahiri ya kuwa CCM ina tatizo kubwa la uongozi kwani message wanazotoa viongozi wa nafasi za juu zinapingana. Hili sio jambo zuri kwa chama ambacho kinataka kuendelea kuongoza. Wapinzani nafasi mliyokuwa mkiiomba, sasa mmeipata.

Kinachosikitisha zaidi ni kwamba JK amekaa kimya kabisa na hasemi chochote. Kitendo cha kukubali kuunga kamati ndogo ni kutaka kukwepa kufanya maamuzi mazito ambayo ni kazi ya kiongozi wa juu.

Jana Makamba anasema mafisadi wabebeshwe mizigo yao na siyo kukibebesha chama. Sasa kama NEC yote inatetea mafisadi na CC yote inatetea mafisadi kwanini tusikibebeshe chama sifa ya ufisadi. Kama chama kinataka kujipambanua na mafisadi, kinatakiwa kuchukua hatua ya ama kuwafukuza mafisadi ama kuwaunga mkono wabunge wote wanaopinga ufisadi kwa nguvu zote.

CCM itashindwa kusimama kwenye majukwaa ikifika 2010 kama itakuwa bado inaendelea kuwakumbatia mafisadi, mbaya zaidi timing ya hili tukio ni mbaya sana, angalau ingekuwa ni miaka 2 kabla ya uchaguzi wadanganyika wengi wangesahau, lakini wakisema wamtose Sitta mwezi Novemba, basi watakuwa wanajiweka mahali pabaya zaidi na itawawia ugumu kujitetea.

The bottom line ni kwamba uongozi wote wa juu wa CCM ni ama mafisadi au umewekwa na mafisadi ili kulinda maslahi ya mafisadi. Kwa mwendo huo CCM haiwezi kujipambanua na ufisadi. Njia pekee kuwatosa hao jamaa ama wawabebe lakini wa-risk kupoteza majimbo mengi.

Ngoja tusubiri Mzee Mwinyi na Kamati yake ndogo watakuja na kipi kipya na pia kikao cha Bunge cha Novemba kitatoa mwelekeo.
 
Ndio uzuri wa siasa muacheni atumie 15 minutes zake of fame, soon atatuliza ball mwenyewe
 
Keil,
Nafikiri hapa tusimhukumu JK aka mwenyekiti wa CCM. Kama chama kinaendeshwa kwa msingi wa kidemokrasia then yeye hana kosa kama wajumbe wengi walikuwa wakishabikia, ilikuwa ni jukumu la wajumbe wanaopinga ufisadi kuja juu na kumtetea Sita pamoja na hoja zao. Sasa kinachooekana mafisadi wameiteka NEC, kwa nini hatujiulizi kikao hiki ambacho habari zake ziliriki jijini mapema jinsi mafisadi RA na EL walivyokuwa wamejiandaa, sasa itakuwaje Mzee wetu Tinga tinga na memu sapu wake (Anna Kilango) walale mbele? Hapa JK angesimaa kuwazuia kuzumgumza angeitwa dikteta, na hiyo si CCM tunayoifahamu. Sasa ni jukumu letu tunaopinga ufisadi tusimame na tuseme waziwazi badala ya kujificha na kushindwa kutokea kutetea hoja zetu.
 
umesema tumekusikia, rudia kusoma tena halafu tafakari halafu utagundua kuwa hujaeleweka na hutaeleweka, wrong avenue!!
Ujumbe umefika na lugha iliyotumika ni nyepesi ya darasa la saba.

Nyie mliowafuasi wake nawasikitikia, kwani kama hamlioni hilo kuwa ni kosa basi bora tutangaze tu kuwa serikali ina dini -Roman Katoliki na yaishe.

Lakini bado siamini kuwa tumekwenda mbali kiasi hicho, hivyo la msingi ni Sitta kuachia ngazi. Mkitaka mkalibisheni CHADEMA. Huko atakutana na mtheolojia mkuu wa kikristo.......... Dr Slaa.
 
Huu ndio wakati mzuri wa Mh. Sitta kuonyesha rangi zake zote. Kwa ushenzi uliofanywa na NEC wananchi wanajua kuwa huyu Bwana anahitaji support ya wote wanaopenda maendeleo ya nchi yetu.
Wakati sasa umefika wa wananchi kusimama kidete nyuma ya viongozi wanaolinda interests za TAIFA.

Hizo ngao na nguo za kijadi hazitoshi.....wananchi wanatakiwa kugomea ushenzi wa aina yoyote unaofanywa na SISIEMU. Hao wote waliokuwa wakimuandama Sitta wanatakiwa kulaaniwa. Mtu kama Kingunge, hana hata jimbo. Kelele tu wakati mwenzie kachaguliwa na wananchi kuwa mwakilishi wao, vilevile wabunge walimchagua Sitta kuwa Spika wa Bunge. Haya ndiyo matatizo ya kulindana na kuangalia mifuko yao tu balada ya Taifa.
 
sammykm70
Join Date: Sat Aug 2009
Posts: 1
Thanks: 1
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Wakuu hii ni nini tena? tunaanza intimidation ili wageni waogope kuchangia? au nimemuelewa vibaya hapa? Nilidhani JF kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake na kadadisi!!!
 
Keil,
Nafikiri hapa tusimhukumu JK aka mwenyekiti wa CCM. Kama chama kinaendeshwa kwa msingi wa kidemokrasia then yeye hana kosa kama wajumbe wengi walikuwa wakishabikia, ilikuwa ni jukumu la wajumbe wanaopinga ufisadi kuja juu na kumtetea Sita pamoja na hoja zao. Sasa kinachooekana mafisadi wameiteka NEC, kwa nini hatujiulizi kikao hiki ambacho habari zake ziliriki jijini mapema jinsi mafisadi RA na EL walivyokuwa wamejiandaa, sasa itakuwaje Mzee wetu Tinga tinga na memu sapu wake (Anna Kilango) walale mbele? Hapa JK angesimaa kuwazuia kuzumgumza angeitwa dikteta, na hiyo si CCM tunayoifahamu. Sasa ni jukumu letu tunaopinga ufisadi tusimame na tuseme waziwazi badala ya kujificha na kushindwa kutokea kutetea hoja zetu.


Malecela alijua nini kitatokea na akaamua kumbeba mkewe na kukimbilia London. Huko London kwenyewe walienda kwa gharama ya nani?

Mafisadi wanawashinda hawa wapiganaji kwasababu wote wana madudu yao mengi na yanajulikana. Sitta hawezi kuhama CCM kwasababu wenzake watammaliza kwa muda mfupi; ana madudu mengi mno ambayo wakiamua kuyatoa hatakuwa hata na pa kutokea nje. Sitta siko Mrema au Hamad, hao hawakuwa na kashfa za kujitajirisha binafsi na ndio maana CCM ilipata shida sana kuwachafua.

Mrema angelikuwa na busara nzuri, alishawashinda CCM.
 
Last edited by a moderator:
Kinachosikitisha zaidi ni kwamba JK amekaa kimya kabisa na hasemi chochote. Kitendo cha kukubali kuunga kamati ndogo ni kutaka kukwepa kufanya maamuzi mazito ambayo ni kazi ya kiongozi wa juu.

Jana Makamba anasema mafisadi wabebeshwe mizigo yao na siyo kukibebesha chama. Sasa kama NEC yote inatetea mafisadi na CC yote inatetea mafisadi kwanini tusikibebeshe chama sifa ya ufisadi. Kama chama kinataka kujipambanua na mafisadi, kinatakiwa kuchukua hatua ya ama kuwafukuza mafisadi ama kuwaunga mkono wabunge wote wanaopinga ufisadi kwa nguvu zote.

CCM itashindwa kusimama kwenye majukwaa ikifika 2010 kama itakuwa bado inaendelea kuwakumbatia mafisadi, mbaya zaidi timing ya hili tukio ni mbaya sana, angalau ingekuwa ni miaka 2 kabla ya uchaguzi wadanganyika wengi wangesahau, lakini wakisema wamtose Sitta mwezi Novemba, basi watakuwa wanajiweka mahali pabaya zaidi na itawawia ugumu kujitetea.

The bottom line ni kwamba uongozi wote wa juu wa CCM ni ama mafisadi au umewekwa na mafisadi ili kulinda maslahi ya mafisadi. Kwa mwendo huo CCM haiwezi kujipambanua na ufisadi. Njia pekee kuwatosa hao jamaa ama wawabebe lakini wa-risk kupoteza majimbo mengi.

Ngoja tusubiri Mzee Mwinyi na Kamati yake ndogo watakuja na kipi kipya na pia kikao cha Bunge cha Novemba kitatoa mwelekeo.


Keil !

Nakushukuru kwa tathimini yako fupi na ya kina. Usikonde kati ya tume lukuki alizounda huyu Mkwere hakuna hata moja iliyozoa matunda. Angalia ile ya spika aliyounda ya akina Mwakyembe mpaka leo hii zaidi ya mwaka mmoja na miezi saba hakuna hata mende aliyeguswa na ile team ilikuwa strong.

I am sorry Mzee Mwinyi aka Ruksa aliyepigwa kofi na kijana wa kijahidina kwa kukiuka mafundisho ya QUARAN amechoka na is in his death bed politically unatarajia nini kutoka kwake apata from gabbage!!

Alhaji mzima anasimama kwenye sherehe za idd anadhubutu kuwaambia waislamu safi watumie kondomu wakati imeandikwa usiikaribie zinaa hata kijana wa madrasa hilo alijua iweje mzee wa miaka 80 asijue kwamba ule mhadhara haukuwa mahala pake!! Mwinyi alilea fitina na makundi CCM we need to punish him. Kama sio upuuzi wake tusingepotea kama sasa. Mchama wenyewe hata Julius Kamabarage Nyerere alinuia kuutosa lakini Satan took him for a ride in hell! Its a punishment kwa kuliangamiza taifa alipomwachia juha Mwinyi nchi na kampeni chafu aliyofanya kumweka yule Mmakonde mlevi Mkapa aliyeuza nchi kwa jumla na bei poa. To hell with ccm... Keil hakuna cha kungoja we need a people's revolution wajeshi wetu hawajasoma na ni makada wa CCM!!!!
 
Ndugu, nani kasema serikari ni ya Romani katoliki, huku viongozi wa juu wa serikari wa bara na Zanzibar ni waislaam tena swala tano! chadema hakiongozwi kwa nadharia za kikristo kwani Slaa kama ni upadri kaweka pembeni, kama umekosaa hoja kaa pembeni, sio kutufanya JF tuonekane tunaegemea udini.
 
Malecela alijua nini kitatokea na akaamua kumbeba mkewe na kukimbilia London. Huko London kwenyewe walienda kwa gharama ya nani?

Mafisadi wanawashinda hawa wapiganaji kwasababu wote wana madudu yao mengi na yanajulikana. Sitta hawezi kuhama CCM kwasababu wenzake watammaliza kwa muda mfupi; ana madudu mengi mno ambayo wakiamua kuyatoa hatakuwa hata na pa kutokea nje. Sitta siko Mrema au Hamad, hao hawakuwa na kashfa za kujitajirisha binafsi na ndio maana CCM ilipata shida sana kuwachafua.

Mrema angelikuwa na busara nzuri, alishawashinda CCM.

Ila na nyie moderators ni pumbafu kabisa, kwanini mnafuta posts zangu kwenye hii thread? Kama mnataka nifungieni kabisa nitahamia kwa Michuzi maana hapa JF pamekuwa na mawazo ya upande mmoja. Watu wanapiga makofi utafiri wako kwenye Ze Comedy. Futeni na hii post na sitachangia tena.

Is Kyela's Engineer amongst of JF's Great Thinkers? Namuelewa vyema kijana huyu Engineer wa Kyela na nilijua tu mwisho wake utakuwa ni huu kwani huwa hawezi kushindana kwa mtiririko hoja!MODS kuweni wakali zaidi kwa watu wasio na adabu kama akina Engineer wa Kyela.
 
Is Kyela's Engineer amongst of JF's Great Thinkers? Namuelewa vyema kijana huyu Engineer wa Kyela na nilijua tu mwisho wake utakuwa ni huu kwani huwa hawezi kushindana kwa mtiririko hoja!MODS kuweni wakali zaidi kwa watu wasio na adabu kama akina Engineer wa Kyela.
Malafyale,

Shikamooh baba! Naona unaanza kuwa na busara kidogo. Usiniangushe tena kwa kuanza kupika habari za Kyela. Vinginevyo hapa tunaendelea vizuri; harakati zangu si mbaya, nitafanikiwa tu siku za karibuni. Ila nikifanikiwa nitaachana na JF maana ya kutukanana na wakwe yanaweza kuleta laana.

Itabidi yule mtu wa Tabora kwa mzee Six (Sikonge) aendelee na mpambano.

Jamaa yako alituahidi kurudi Jumatano kuendelea na mikutano yake; baada ya kibano cha NEC kapotea, vipi tena? Mshauri arudi tu!

Invisible mbona unafuta posts zangu? Mbona waliokuwa wanatukana kule kwingine hukufuta? Au mkuki kwa nguruwe kwa binadamu uchungu?
 
Engineer,
Unachosema unaweza ikawa kweli, cha kujiuliza kwa nini kama ukumbi ulikuwa huru kwa nini walishindwa kujibu kwa hoja? na kwa jinsi wapiganaji walivyokuwa wanashambuliwa kufuatana na jumbez tulizoletewa na Mzee sasa kwa nini wao walishindwa kuanika madudu yote ya richmod ambayo hata waligai walificha ili kuisitiri serikali isianguke. JK kwa hili anastahili pongezi ameacha demokrasia itumike, ila kama aliwakatalia wapiganaji kuongea hapo tunabidi tumlaumu. Lakini wapiganaji wametuangusha watanzania wote na wana CCM wanaokitakia mema chama chao.
 

Urambositta.jpg

Speaker Samuel Sitta addressing a rally at Urambo yesterday. (PHOTO: Edwin Mjwahuzi)

Speaker Samuel Sitta has vowed to maintain his principled approach, and declared that he is still very strong.He has furthermore called on his well-wishers to pray for him, so that he may have better health and remain steadfast in his patriotism-driven activities.
The sentiments were among the highlights of a nearly 25-minute address Sitta gave to a huge crowd that had earlier given him a tumultuous welcome after arriving in Urambo Constituency in Tabora.
He told the audience comprising mainly people in his constituency, that his record as MP over the past four years was impressive, one of its manifestations being facilitating a Sh60billion road construction.
However Sitta didn’t directly speak about what transpired during the just ended NEC meeting in Dodoma.
“I am still strong…just pray for me so that God gives me better health, to enable me work for you and our country,” Sitta told hundreds of cheering supporters yesterday evening. Earlier, Urambo residents led by a traditional leader, Lameck Kabuda, presented a shield and spear to Speaker Sitta as a symbolic acknowledgement of his unrelenting resolve to fight grand corruption.
At Tabora airport, Speaker Sitta was received by four priests who drove from his Urambo constituency to welcome him in the region. Conspicuously absent were government and ruling party officials.

A failed mission

They secretly planned a mission to oust him, triggering sharp criticism from the public, opposition and the some religious leaders. Putting their hopes on the money’s deceit, the group of three prominent politicians believed to be behind the failed mission had at least 90 percent assurance that the end of their political enemy Samuel Sitta has arrived.
Banking their hopes on how Maalim Seif Shariff Hamad and Abdul Jumbe were cornered by top party’s organs before being forced to resign from their positions, anti-Sitta’s group failed to understand one thing that the political environment of two decades ago is quite different from the current situation.
Although the group used an example of how South Africa’s ruling party ANC kicked out Thabo Mbeki, and still scored a landslide victory in this year’s general election, to cement their motion the events that have followed this week after the conclusion of NEC meeting have proved that ‘their mission was ill-conceived.”
Though at the short-run the group might has emerged as a winner in the long standing political battle, at the long-run Speaker of the National Assembly is gaining momentum politically sending an alarming message that ‘their botched mission was nothing but just a ladder to promote Sitta politically’.
Two top CCM leaders, Yusuf Makamba and Tambwe Hiza, have strongly tried this week to calm what they described as negative and distorted media reports about what transpired.
However, their move has totally failed to change the political wind as Sitta continues to enjoy a very strong support from the people.
While Makamba made it clear that the party has the full authority to discuss as well as to question the way Sitta was managing the Parliament, Hiza on his side cried foul, insisting that the media has totally distorted what transpired.
But their clarifications didn’t make any difference as the political wind continues to blow in favour of Sitta.
In his constituency, the Speaker received a heroic welcome, as thousands of his supporters came out in multitudes to receive on Saturday.
As Sitta a lawyer turned politician continues to enjoy the massive support, to his opponents, the wind has changed dramatically as news about a fifty million shillings mission continue to unfold this week.
While first, it was thought that the move to crucify Sitta was a strong agenda planned by the ruling party, the fresh versions of majority of NEC members who attended the just ended meeting show that ‘it was just a an attempt by a small faction of members’ who attempted to use the authorized meeting to oust the Speaker.
According to media reports quoting some NEC officials, about 30 NEC members mainly from Zanzibar were paid up to Sh2million per person to execute the deal with a promise of being paid another amount after successfully completing the mission.
Although it failed to takeoff as expected, Sitta and his group were taken by surprise when their rivals launched massive attacks, calling for his resignation as well as surrendering of his membership card.
Just few hours before the meeting, The Guardian on Sunday team contacted Mr Speaker asking him whether he was aware about the mission, but the man seemed very clearly that ‘he wasn’t aware.”
“This cant be true…I should have known earlier” Sitta told The Guardian on Sunday few hours before the series of Central Committee and National Executive Committee meetings in Dodoma last week. With nearly 14 months before the 2010 general election, the battle for the control of the key political groups within the ruling party is expected to widen , as every faction attempts to ‘install’ a leader of their choice starting with the election of lawmakers.

Never apologized

The Speaker of the National Assembly Samuel Sitta never apologized as reported by some section of the media this week, The Guardian on Sunday has learnt.
Contrary to media reports quoting inside sources within National Executive Committee, Sita told his accusers, “I have heard you; let us forgive each other…I am a matured person and have heard you all.”
“I was in the meeting and witnessed everything that transpired…but I was shocked to read on the newspapers next day that Mr. Speaker apologized,” one NEC member from Lake zone regions told the Guardian on Sunday yesterday.
The NEC member who declined to be named citing the sensitivity of the subject queried, “Is this an apology or just misinterpretation of what Sitta said?”
“Some of us where shocked to hear what the Speaker was being accused of; that he wanted to overthrow the president…but finally at the end we were able to understand the growing rift within our party.” The NEC member added.
Another member of NEC told The Guardian on Sunday this week that some ‘planted’ members from Zanzibar went beyond the mark accusing Sitta of muzzling the presidential powers, under the umbrella of managing the parliament in a modern way.
“There is nothing else bad and dangerous in politics than being accused of grabbing control of the State through Parliament. This is equal to treason whose punishment is either death or life imprisonment,” the source said. Inside information had it that it seemed NEC members from Zanzibar were planted by some individuals with ill-mission against the speaker since it was the ones who spearheaded the agenda.
“First the agenda on speaker was not on the list, but it was suddenly brought by some members; what was even surprising is that NEC members from Zanzibar appeared to spearhead the matter during the meeting, something that hinted the possibility that they were prepared by those seeing Sitta as their political enemy.” He said
But CCM spokesman John Chiligati denied reports claiming Speaker Sitta was at the centre of the subject during CC and NEC meetings. He blamed the press for reporting the case without conducting thorough investigation, a factor that distorts the truth.
“Among other things discussed, the meetings examined the situation in the party, including finding a better way to restore party discipline among our party members that now appears to be withering away,” he said.
He added: “People should understand that our meetings were not centered on speaker because he was not part of the agenda meetings. What transpired is that Speaker Sitta was discussed as a CCM member just like any other CCM members in relation to the conduct of CCM legislators within the Parliament and in the House of Representatives,”
He said of relate a strange behavior has emerged within with the party whereby every party member has turned out to be a spokesman despite the presence of special people with such responsibilities.

SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY

Kaazi kweli kweli...................!! ??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom