Safari ya Marekani

Kuna mwaliko wa nduguyangu aende Virginia ila kwa muda ulipo tumepambana siku mbili Ps imepatikana , naumiza kichwa kuhusu Us Embassy je atatoboa , anahudhuria sherehe ya dogo mtoto wa nduguye alieloea huko kwa miaka mingi , lengo akitoka wamfanyie manuva abaki huko kisha nami anisogeze ,maelezo yenu kuhusu hawa US embassy sio ya kitoto napata hofu tarehe nane ndio anatakiwa awe nje mwezi ujao.
Je kuomba mwaliko /ile fomu ya kuitwa pale Embassy ni gharama zipi au ni free naomba mwongozo
 
Andaa $163 mfuko wa shati.
 
Nadhani Ya ujerumani wanikua very strict,kwasababu walinipa schengen visa ambayo ningeweza kuingia kwenye nchi 26 za Europe.All in all ukiwa mkweli na sababu ya kueleweka lazima upewe visa yeyote.Wale watu wamefanya kazi hiyo muda mrefu so wanajua ukidanganya.Interview ya marekani took less than 5 minutes was the easiest.

Weka hayo maswali na majibu
 
Ndugu zangu wana JF,

Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani ( New York ) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza kutoka nje ya Tanzania ukitoa Kenya.

So nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu kidogo juu ya mambo ambayo niwe makini nayo katika safari hii

hasa ninapotua tu Airport .View attachment 1931672
Yani ukifika airport kuwa makini utatekwa upelekwe ukraine
 
Ndugu zangu wana JF,

Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani ( New York ) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza kutoka nje ya Tanzania ukitoa Kenya.

So nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu kidogo juu ya mambo ambayo niwe makini nayo katika safari hii

hasa ninapotua tu Airport .View attachment 1931672
Ukifika airport kuwa makini utatekwa upelekwe ukraine
 
Ndugu zangu wana JF,

Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani ( New York ) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza kutoka nje ya Tanzania ukitoa Kenya.

So nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu kidogo juu ya mambo ambayo niwe makini nayo katika safari hii

hasa ninapotua tu Airport .View attachment 1931672
Marekani si Kama unaenda Ikwiriri
 
Watu wengi wanatumia visitor visa kama njia ya kuzamia USA. Embassy kazi yao ni kuchuja kuhakiki kwamba mtu anayeenda, anaenda kweli kwa tourism purposes. Sasa kama hata Africa yenyewe haujafanya tour za kutosha.. umeenda kenya tu. hata south africa haujafika, wala dubai, wala Europe ni kwa nini USA? Hizo nchi zote ziko karibu na Tanzania zaidi ya USA. Mtu mwenye hela na anayesafiri kutembea tu, anaanza nchi za karibu kabla ya kwenda za mbali
Point. Unakuta huyo anayetaka kwenda "kutalii" USA koromeo limechongoka Kama kigoda. Ubalozi wanabaki kucheka kimoyo moyo
 
Back
Top Bottom