Youth champion
Member
- Feb 12, 2020
- 66
- 84
- Thread starter
- #21
Mmmmhhhhhhhh ni kipenge kweli kweli !Watu wengi wanatumia visitor visa kama njia ya kuzamia USA. Embassy kazi yao ni kuchuja kuhakiki kwamba mtu anayeenda, anaenda kweli kwa tourism purposes. Sasa kama hata Africa yenyewe haujafanya tour za kutosha.. hata south africa haujafika, wala dubai, wala Europe ni kwa nini USA? Hizo nchi zote ziko karibu na Tanzania zaidi ya USA.