Safari ya mapenzi na vikwazo vyake

Heee unaweza kupoteza mwelekeo.. yn kuna watu hawabipiwi....
 
mimi ningetukana kinoma aisee ila katika hili nimejifunza sitatukana tena
 
Lakini kaji redeem alivyomalizia.

Huyo bidada alivyo mvumilivu hapo Frank itabidi atangaze ndoa tu, vinginevyo kamuonea.

Kuna malaika mmoja huwa ananikosha sana kwa moyo kama huo. Ananielewa kabla sijataka kueleweka.

Ingawa mi si kauzu.

wewe mgumu sana hata frank anasubiri
 
Frank ana mabalaa

hivi hiyo kete ya chungulia dirishani, alafu demu angesema sipo nyumbani...

Frank angekuwa kakinukisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…