Usinambie!!!!
nimeshakosa mambo mangapi ila bado kanipa nafasi na ukasema kwamba uniachi utanipenda milele
Chozi lako mola kasikia nami nimekiri upendo nitatulia
nitakupenda milele daima daima X 2
naimba tyu
We mo11 kwa kuimba tu ,umejaliwa
sasa nisiimbe kama kuimba najua ?
Umeona eeh na mashair yametulia
ngoja nikualike huko ninapoimba vizuri kabisa
mbona unaogopa?
humu humu sio mbali
Nilifikir mbali maana mama amenikataza nisitoke nje ya nyumba yetu labda kwa ruhusa maalumu