Safari ya mapenzi na vikwazo vyake

Safari ya mapenzi na vikwazo vyake

mh!!" huu ujumbe umenikumbusha mbali my x nilimwambia nakupenda sana akasonya eti UNAJUA KUPENDA WEWE!!!! WAPO WANAOJUA KUPENDA SIO WEWE.... nililia na wala hakushtuka na vimachozi vyangu

Jamaniii poyeee ehee baada ya hapo?? Akawa ka frank au aliendelea kuwa kauzu zaidi ya dagaa...
 

Lakini kaji redeem alivyomalizia.

Huyo bidada alivyo mvumilivu hapo Frank itabidi atangaze ndoa tu, vinginevyo kamuonea.

Kuna malaika mmoja huwa ananikosha sana kwa moyo kama huo. Ananielewa kabla sijataka kueleweka.

Ingawa mi si kauzu.
 
Hadi wewe kukiri ni malaika, kafanya kazi ya ziada.

Usimfanyie ukauzu sana.

Lakini kaji redeem alivyomalizia.

Huyo bidada alivyo mvumilivu hapo Frank itabidi atangaze ndoa tu, vinginevyo kamuonea.

Kuna.malaika.mmoja.huwa ananikosha sana kwa moyo kama huo. Ananielewa kabla sijataka kueleweka.

Ingawa mi si kauzu.
 
Hadi wewe kukiri ni malaika, kafanya kazi ya ziada.

Usimfanyie ukauzu sana.

Mie bonge la gentleman kwenye viwanja vyangu.

Mpaka kutuma maua na mazaga yote.

Hamna haja ya kumfanyia ukauzu mtu, kama haum feel unajikata kislesi tu bila vurugu.
 
LI-FRANK sio jitu zuri kabisa, na anabahati kakutana na MARRY ila angekutana na JI-MERRY ingekua
'kama mbwai mbwai tu, usinilambe lambe kama jibwa'
 
Ila li frenk lingenikuta mtu kama mm ngelitukana adi lijute
 
Back
Top Bottom