MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,553
- 41,467
tutatoroka tu
Tutapitia wap walinz wote hawa
Usinambie!!!!
Asikuambie nn wakati ndo kishakwambia!
Mi nakuogopa bana !!!! Utaniibia simu yangu
kwani wewe wa geti Kali enheee....!!
Mi siitaji simu, how come vyautamu vimezaliwa vingi, nikuibie simu?
Lakini kaji redeem alivyomalizia.
Huyo bidada alivyo mvumilivu hapo Frank itabidi atangaze ndoa tu, vinginevyo kamuonea.
Kuna malaika mmoja huwa ananikosha sana kwa moyo kama huo. Ananielewa kabla sijataka kueleweka.
Ingawa mi si kauzu.
Mnunulie simu, nimnunulie vocha!..
Kwetu kuna maget sita mbwa wanane wote wananilinda mimi
mwili wako wa dhahabu ?
Nina chembe chembe za tanzanite
job true true
lazima wakuchunge
wewe mgumu sana hata frank anasubiri
Sio hivyo dada,
Ni kunielewa tu, na naelesha na kueleweka vizuri tu mpaka madaktari wanahitaji tiba yangu.