Amejenga kilometer za barabara kuliko raisi yeyote katika historia ya mchi hii. Amejenga shule za sekondari kuliko raisi yeyote katika nchi hii. Amejenga vyuo vikuu vingi kuliko Raisi yeyote katika nchi hii (udom, mloganzila,katavi, Butiama etc.Aliimarisha uhuru wa kujieleza na demokrasia kuliko raisi yeyote Tanzania! Aliyaimarisha majeshi yetu kwa vifaa na maslahi kuliko raisi yeyote! Ameacha MoU khs standard gauge na China, mradi wa DART, REA etc- wanafunzi kwa maelfu walipata mikopo na ajira! Ameifanyia mema mengi nchi hii ni muda wake wa kupumzika, ni muda wetu wa kushow our appreciation kwake! twendeni tukamsalimie mzee Jk msoga xmass hii