Safari ya kushtukiza kwa mpenzi

Safari ya kushtukiza kwa mpenzi

Babu yangu alikuwa na busara sana aliwahi nambia ukitoka safari ukifika karibu na nyumbani mpe mtoto koti atanatangulize home then Jibaraguze kuongea na jirani au kunywa soda tumia nusu saa ndo uende home
 
Umemuelewa mleta mada?
Siendagi kwa watu bila taarifa. Labda anipe funguo yangu. Nilimshtukiza ex bf tu. Nilienda mkoa aliokuwepo kwa issues zangu nikaenda sehemu yake ya biashara kumsalimia na sikumkuta alienda kwenye msiba kijijini. Nikafanya kilichonipeleka nikasepa.
Zaidi ya hapo bado sijaingia na huba la kumsurprise kiumbe mwingine
 
Mje wapenda masurprise mtuambie mliyokumbana nayo. Kikawaida huwa sipendi hicho kitu kutokana na kuona wanayokutana nayo wengi wa hao wapenda surprise, ni wachache wanaokuta waliyoyategemea kwani waliowengi wanakuta ni kinyume kabisa.
Hujabadili ID kweli?
Aya, njoo niambie kabla sijaja mimi
 
Ndio binadamu walivyo Shadeeya

Ila kwa vyovyote ilivyo kama unaweza usipende kupekenyua pekenyua saana mambo ya mwenzio huku ukidhani ndio unafanya surprise, unaweza jikuta unajipa pressure isiyokua na sababu, wakati kama lengo lako ni kumfurahisha mwenzio mbona zipo surprise nzuri tu za kuongezeana mapenzi kati yenu na sio za kuviziana na kutaftiana mabaya yatakayo wapa karaha nyote wawili

Hivi mtu uondoke kwako halafu urudi usiku wa manane hapo unafanya surprise ya kumfurahisha mwenzio au unataka ufumanie ili muachane?
Kweli kabisa usemayo badala amsuprize na zawadi nzuri
 
Kabisa mkuu, mpe dharura mwenzio...yaani wakati wote jitahidi uwe na mawazo chanya juu yake

Akichelewa kurudi kazini usimdhanie tofauti, weka fikra zako kua alikua na kazi nyingi au foleni, kama hakupokea simu jiaminishe kwamba alikua mbali nayo, kaa mbali na simu yake na muonyeshe mapenzi wakati wote, juu ya yote na wewe mwenyewe uwe msafi wa matendo na nafsi
Mkuu,
Naona unaleta mapenzi ya kifilipino bongoo...

Hao sio Wanawake wa Kiafrika kaka,

Utakuja jirusha kama mwezio juzi kule mwanza
 
Nilifanya safari ya gafla kwake na sikumkuta ila nilimkuta rafiki ake anaitwa rose akiwa amelewa nikaanza kumchezea chezea ki utani, Mara nikaskia nito***e nami sikua mchoyo nikamrukia nikapiga kazi nikaondoka.kesho ake nakuja kupata taarifa kua sikumkuta kwa sababu aliisindikiza njemba moja hv kwake na alikua amelewa hadi ajielewi na alilala huko basi nikajipongeza kwa kusawazisha bao...tangu siku hyo nikiwa na genye rose hua ananipa bure kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hi kwenye football inaitwa both teams to score
 
Ushawahi kufanya/ kufanyiwa safari ya ghafla na mpenzi wako bila kukitarifu juu ya ujio wake.
Je ilikuwaje na ulikuta nini?

Nilimuingiza kwenye tenga na kumrudisha kwao usiku usiku huku akilia. Wanawake hawajuwi tu, kuna kipindi mwanamme unatakiwa kuwa peke yako ujitafakari, ujinga huu wa kukaliwa na kuchezewa matako na mademu wanaweza vigarasa (wanaume) wa Dar tu.
 
Hizo ziara za kushtukiza tumuachie yule jamaa mkubwa sisi wengine zinaweza kutuua bure
 
Back
Top Bottom