nsanzu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,954
- 5,829
Hiv mimi ndio huwa ni mjinga peke yangu au kuna wenzangu Wajinga kama mimi!Kugongewa kunauma asikwambie mtu, ndio maana siku zote omba Mungu usifumanie wala usifumaniwe
Ila ukitaka kuchimbua chimbua mambo utayapa yakukupata
Hiv kinachofanya ushindwe kufukunyua ujinga anaoufanya mkeo kwa sababu tu unaogopa kuumia ni nini? Au pengine huwa nasema hivi sababu sijaoa!?