Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,124
- 126,387
Ndio. Haya mambo sio kabisaJamaa akajikuta anaji surprise mwenyewe!😀😀😀
Ndio. Haya mambo sio kabisaJamaa akajikuta anaji surprise mwenyewe!😀😀😀
Hukujilaumu baadae? Au ndio ulikuwa unamtafutia sababu?Nilirudi safari bila taarifa. Nilipoingia ndani cha kwanza nilichofanya nikuchukua simu yake na kutoka nje nikamfungia ndani. Niliendeleza charting zake alipoishia na nikamwita aliekuwa anachart akaja tukaonana tukaelezana ukweli nikarudi ndani tukalala asubuh nikampeleka Ubungo nikamrudisha kijijini kwao. Nasikia karudi tena mjini ila sijawahi onana nae tena
Hello rafiki![emoji6][emoji6][emoji6]Ndio. Haya mambo sio kabisa
aisee nimeingiaje huku kwenye jukwaa la Badoo jamani??Ndiyo,huyu hapa![emoji116] Nilikuwa nakutongoza kule pm ili nibadilishe ladha rafiki![emoji16][emoji16][emoji16] View attachment 973746
Mkuu subiria BAN[emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo,huyu hapa![emoji116] Nilikuwa nakutongoza kule pm ili nibadilishe ladha rafiki![emoji16][emoji16][emoji16] View attachment 973746
Tatizo hii kitu unaweza kuwa msafi kumbe mwenzio mchafu. Vp we unapenda kumfanyia mwenza wako hiyo surprise?Sijawahi kuogopa surprise coz i had nothing to hide!
Surprise nzuri ni kama hizi: Weka mzigo wa kutosha kwenye simu kisha fanya muamala kwa mwenzio(mke, mpenzi, mchumba au rafiki) asilimia kubwa lazima watafurahi na kuchangamka hata kama walikua wameboreka watakaa sawa na hawatasahau hiyo kitu kwa muda mrefu sanaNdio. Haya mambo sio kabisa
Tatizo hii kitu unaweza kuwa msafi kumbe mwenzio mchafu. Vp we unapenda kumfanyia mwenza wako hiyo surprise?
Hizi ndio Surprise sasa 😃😃😃Surprise nzuri ni kama hizi: Weka mzigo wa kutosha kwenye simu kisha fanya muamala kwa mwenzio(mke, mpenzi, mchumba au rafiki) asilimia kubwa lazima watafurahi na kuchangamka hata kama walikua wameboreka watakaa sawa na hawatasahau hiyo kitu kwa muda mrefu sana
Pia waweza mpigia simu mwenzio umuite mahali umnunulie hata kizawadi cha handbag au basi hata kula ice cream pamoja, lakini surprise nyingine ni za kubomoa na sio kujenga
Ndio hapo sasa mi naona ni vyema jambo mtu akakutana nalo kuliko kulazimisha kukutana nalo (japo si wote wenye nia ya kukutana nayo maana wapo wengine wanafanya hizo surprise kwa wema tu ila wanayokutana nayo ni mtihani) sababu saa nyingine mtu anaweza akakutana na jambo zito mpaka akajuta kuzaliwa na akajilaumu maisha yake yote kwa alichokifanya na alichokumbana nacho.Kuna watu wengne wanakua na hasira tu na muda wote wanatafuta madhaifu ya wenzao ili wawachukulie hatua! Sasa ni mapenzi gani hayo ya kuviziana Shadeeya ?
Ooh. Sawa Mkuu. Ila si ajabu siku ambayo ungejaribu usingeamini macho yako.sikuwahi kufanya hicho kitu ila yeye alifanya many times!
Ni kweli kabisa maneno yako Shadeeya ...Ndio hapo sasa mi naona ni vyema jambo mtu akakutana nalo kuliko kulazimisha kukutana nalo (japo si wote wenye nia ya kukutana nayo maana wapo wengine wanafanya hizo surprise kwa wema tu ila wanayokutana nayo ni mtihani) sababu saa nyingine mtu anaweza akakutana na jambo zito mpaka akajuta kuzaliwa na akajilaumu maisha yake yote kwa alichokifanya na alichokumbana nacho.
Mbona unamtisha sasa?😀😀😀...Ooh. Sawa Mkuu. Ila si ajabu siku ambayo ungejaribu usingeamini macho yako.
Saa nyingine inakuwaga hivyo Ses yaani yule Msafi anampata mwenzie mchafu. Japo si woteMbona unamtisha sasa?😀😀😀...
Ndio binadamu walivyo ShadeeyaSaa nyingine inakuwaga hivyo Ses yaani yule Msafi anampata mwenzie mchafu. Japo si wote
Ooh. Sawa Mkuu. Ila si ajabu siku ambayo ungejaribu usingeamini macho yako.
Jirani yangu hapa alikuta mke wake anakatwa live kwenye kitanda alichonunua kwa pesa yake...Ushawahi kufanya/ kufanyiwa safari ya ghafla na mpenzi wako bila kukitarifu juu ya ujio wake.
Je ilikuwaje na ulikuta nini?