Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,156
- 55,656
Sogea karibu upate ushauri wa maombi
Kumbe wewe ni mpambanaji!Moro mwingine kabla sijaolewa yaan nikiwa kwenye utafutaji mume
Usipende kufuatilia mambo ya watu, tafuna muhogo ukimaliza rudi kwa yule wa TundumaKatika maisha tunapitia changamoto nyingi mnoo. Ila tumepewa zawadi ya mapenzi na Muumba Ili kupunguza uchungu tunaokutana nao katika safar nzima ya maisha
Ndo unapigiwa hivyooKuna Bidada tuko mikoa ya karibu, ila Sasa Kila nikichomekea akuje......ananizungusha.
Kila nikichomekea Mimi niende , Mara ubize Mara nn !!
Msiseme hanipendi ,Ananipenda sana tu , Ila nahisi ni ubize tu wa hapa na pale
Kwa kweli kuna Raha kusafiri kufata Mbususu!! ... Yaan unakua kama unafanya Royal Tour ya kugegedana
Kondomu !!.
Nasema Uongo Ndugu zangu??.



Wapo wastaafu wasiojielewa we itakuwa ni mmojawapo, ila wengi naowafahamu wako njemaHata sisi tuliostaafu hivyohivyo tu tofauti busara inakuwepo… mtoa mada Tunduma hakuna mihogo? Au wanalima nyanya tu?![]()
Utakavyotaka kusema na useme,,, mxiiiieeewKwaiyo wewe ni legend
Sawa baba mzuri nitakuombea🤩Mtuombee wakuu
Kuwa mwanaume sio kazi ndogo, imagine limji kama Dasalama jamani
Hebu fikiria ndio unakatiza pale wanaita chuo kikuu, rudi kapande pantoni jamani, toka uko tembelea TIA, IFM, CBE huko kote acha ingia mjini kule sjui mnaita site senta
Uanaume kazi nyie msifanye utani![]()
Ulikua unatafuta mume kama mbuzi wa kuchinja??Moro mwingine kabla sijaolewa yaan nikiwa kwenye utafutaji mume
LegendariUtakavyotaka kusema na useme,,, mxiiiieeew
Baby ndo umekuja kunitangaza uku si uliondoka mwenyewe Njiro tena bila kuniaga huo ni uungwana kweli?Katika maisha tunapitia changamoto nyingi mnoo. Ila tumepewa zawadi ya mapenzi na Muumba Ili kupunguza uchungu tunaokutana nao katika safar nzima ya maisha
Katika miez mibovu kwangu ni pamoja na huu nimesafir KUFATA MHOGO Arusha kutoka Tunduma
Wanaume kuweni na aibu ata kidogo basi aiwezekan uwe unabadilisha wanawake kama nguo na wote unawapeleka nyumba unayoishi mnaboa wenye tabia za Ivo sana katika katiba mpya hili swalatutaomba liwepo kuwafunga wanaume wa hivo
Nimefka Arusha salama lakin nakutana na vituko namna hii mwanaume age34 Bado unaangaika na bint wa 16yrs men stop this plshaitoshi mama mwenyenyumba hakai hapo ila ndo anagombaniana na vidada MHOGO yaaan akikuta kadada anakaramba makofi hio si laana?
Lait ningejua kuwa mahusiano ya mbali umoja wa mataifa ndo wanaweza nisingejihusisha na haya mahusiano ambayo mpaka sasa sijui yalikuwa yanahusiana na Nini
Nawapa taadhari acheni kizifata mbunye na papuchi mbaliii mtajakupigwa vitu vizito dumu na yule mtu wako wakaribu kama tu hakuletei U.T.I
Hao wanaitwa wasimbeLegendari
Huyo mzee akiugua usimkimbie
Maana ndiyo tabia zenu nyie slay queen
Laana haita kuacha
Na Mimi nasema laana ikupate milele ukimtelekeza huyo mzee
Ungekuwa makini na kwenye kutafuta hela km huu ushauri ungekuwa mbali Sana,,Legendari
Huyo mzee akiugua usimkimbie
Maana ndiyo tabia zenu nyie slay queen
Laana haita kuacha
Na Mimi nasema laana ikupate milele ukimtelekeza huyo mzee
Kwani mbwa si anagonga mbwa mwenzie..!??Sasa nawe umo ndani na hao wake wenzio?
Pole sana, hao ndio wanasababishwa tunaitwa mambwa
Hata akiwa mwezini analifuata tuWewe mwanamme ukiwa wamkojoza anaweza kuifuata de libolo ata mwezini
Aijie MhogoPole sana dada sasa bado upo Arusha upitie Tanga au![]()
Dada huwezi kuja hapa Dom?Npo kwa gar narud zangu kwangu hamu na mwanaume Sina nimeshavuliwa nguo vyakutosha
