Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

Kevo

JF-Expert Member
Jun 12, 2008
1,333
54
Mhe.Chenge amedai kwamba Spika amemchafulia jina Nationally and Internationally.

He says he is going to push for a Parliamentary Disciplinary Committee to oversee this issue.

His Lawyers are going to act promptly.

Kivumbi hichooo!
 
RAI la leo tarehe 19 June 2008, nilisikia kupitia RFA kile kipindi kinachoongelea magazeti ya leo btn 12:30 - 1:00. Wasomaji walikuwa Nevil Meena na H. Mkoko
 
Hapo sasa!lakini akizidi kubwabwaja atazidi kuchafuka ni bora abaki kimyaaa tukisubili kumfilisi na vijicent vyake lasivyo atapotea ashindwe hata kurudi Bariadi kwao.
 
MWENYEZI MUNGU APISHE MBALI HUU MSEMO WA MHARIFU ADOLFO"When u r in light, everything will follow u. But when u enter dark, even
your own shadow"
KAZI KWELIKWELI HAPO
 
Mhe.Chenge amedai kwamba Spika amemchafulia jina Nationally and Internationally.
He says he is going to push for a Parliamentary Disciplinary Committee to oversee this issue.
His Lawyers are going to act promptly.
Kivumbi hichooo!


hahahahaaaaaaaaaaa.... hapo ndo patamu sasa wacha wajinyonge wao kwa wao.... matunda kwa upande wetu ndo yatazidi....safi sana tumsubiri na six nae sasa cheche zake.... kweli hii ni serikali ya ZE COMEDY
 
Kwa faida ya taifa na aende mahakamani kwani hiyo kanda aliyokuwa anawanga itaonyeshwa na watanzania wote tutamuumbua, even kama ameifanyia fotoshop bado spika aliiona mapema kwahiyo aliifazi ushaidi na nafikiri hatakubali kuwajibishwa kwa mambo ambayo yamefanyika.

Danganya toto, mbona hakwenda kumshitaki Dr. Siraa kama kweli anaamini kuwa mtu akionewa anashitaki au maneno aliyasema Dr. anayakubali kuwa ya kweli ila la uchawi sio kweli, mwizi, mwanga mkubwa!
 
Chenge alisha chafuka hawezi kuchafuliwa, nani hajui jina la Chenge kwa sasa kuwa ni FISADI?

Sema sasa sasa amejiongezea sifa ya pili ambayo watu wanashindwa kuitamuka.

Nafikiri next time hatachukua kabisa form ya Ubunge(kama atabahatika kumaliza kipindi hiki) itatakiwa astaafu siasa kabisa, amechafuka amechafuka hata hafai kukaa karibu na watu.

Au pia inawezekana hii statement imetoka baada ya chenge kujua ripoti itasema nini kwa hiyo anataka labda kuzuia kitakachosemwa kwenye ripoti.
 
Mhe.Chenge amedai kwamba Spika amemchafulia jina Nationally and Internationally.
He says he is going to push for a Parliamentary Disciplinary Committee to oversee this issue.
His Lawyers are going to act promptly.
Kivumbi hichooo!


kwani anajina gani huyu ane sasa.... sikuhizi kuwa mchawi aka mlozi, mzinzi, vijisenti ni jina????????

jamani mwafika wa kike yuko wapi???? mbona haeleweki sasa JF NA TAIFA LINAMUHITAJI
 
Free chenge with ure words!the man is innocent!


The eye of the camera cant tell a lie eee unless mtu ameiga hair cut yake .. mhhh then from that point of view ... and just a little bit i would say he had no motive
 
Lakini kama sisi ni waumini wa sheria na haki, si hata muuaji au mwizi naye anatakiwa kutendewa haki?

Kama Spika aliongea yote yale bila kuwa na data za uhakika, basi Chenge ana haki kabisa ya kulalamika. Mimi hili jambo la uchawi sikuamini mwanzoni lakini Spika alivyoongea
nikaamini kwamba Chenge kamwaga juju bungeni.

Kama ni kweli Chenge alikuwa anatafuta kiti cha kukaa, basi spika inatakiwa awe mtu wa kwanza kumwomba msamaha Chenge kwa yaliyotokea.

Mimi namchukia Chenge na ningetaka sheria ichukue mkondo wake na afungwe na kufilisiwa kwa kuwaibia Watanzania lakini pia naamini hata yeye bado ana haki zake na hakuna haja ya kumzulia mambo ambayo hajafanya.

Kama ni kweli kamwaga juju au sumu bungeni basi aadhibiwe ipasavyo vinginevyo
wale wote ambao walitoa habari zilizofanya watu wengi tuamini Chenge ni mchawi au mwuuaji basi wana kila sababu ya kumwomba msamaha.

Sisi watetezi wa sheria na haki za Watanzania lazima tuwe wa kwanza kutetea sheria na haki hata za maadui zetu, tukianza kugeuaka kama kinyonga kutegemea mhusika ni nani, naamini tutapoteza moral authority kwenye hili.
 
Back
Top Bottom