Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

Angalia na hii:

PRESS RELEASE


10 November 2010

PCCB'S STATEMENT OF 8 NOVEMBER RELATING TO THE BAE/RADAR CASE

The British Government is aware of a statement made by the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) on 8 November 2010. At this stage the case relating to BAe and its dealings in Tanzania is yet to go to court in the UK. It is therefore not possible to draw conclusions either way relating to those who were interviewed in connection with the case.


NOTES FOR EDITORS:

On 5 February 2010, the Serious Fraud Office (SFO) announced that it had reached a settlement with BAe following an investigation into a defence contract with the Government of Tanzania.

Regarding Tanzania, BAe has admitted that it failed to keep reasonably accurate accounting records in relation to its activities here. BAe has said it will plead guilty to the aforementioned offence, and that it will pay a sum of £30 million by way of a penalty and also for reparation to Tanzania. A hearing in the crown court will determine the amount of the financial order (fine) with the balance to be made available as an ex-gratia payment to the people of Tanzania.

The plea agreement between BAE and the SFO brought to an end all outstanding investigations by the SFO. However, because the plea agreement has not yet been before the crown court in the UK, it is not possible to say at this stage whether the agreement will stand.

A crown court judge will determine whether the plea agreement between the SFO and BAE can be accepted. The hearing will start on 23 November.

_________________________________________________________________________________
FOR MORE INFORMATION:

Mark Polatajko | Head of Political, Press & Projects Section | Email: Mark.Polatajko@fco.gov.uk | Tel: +255 (0) 22 2290000 | Mob: 0754 764276 |

na bado kasafishwa! kweli uspika wa bongo kichwa cha mwendawazimu kila fisadi anajifunza kunyoa!
 
Chenge alikula hela zetu kwa ufisadi wa Rada, alipoulizwa akasema tunapigia kelele hivi vijisenti tu? mpaka leo hivyo vijisenti vyetu ameshindwa kuvirudisha. Bila haya na aibu kama mchawi anatangaza sasa kuchukua rungu la Uspika huko Dodoma.

kwa kweli jamani CCM ya leo imejaa wahuni na matapeli tu. watu hawana aibu wala hawajali makosa waliyotufanyia ila wanaona raha kuendelea kuliangamiza taifa na wananchi wake. Mpaka hapo taifa litakapokufa na kubaki nchi, ndipo na wao watashtuka. Jamani watanzania hebu na sisi tuamke kidogo kama wenzetu jirani. Tunaona na tunakaa kimya na wao wanaendelea kutunyanyasa kwa kupitia CCM na sisi tunakubali. Tabngu lini mtu akachakuliwa kuwa rais kwa kura milioni 5 wakati nchi ina watu zaidi ya milioni 40? Hii ni haki kweli?

WAKATI UMEFIKA WA WATANZANIA KUJIKOMBOA NA WAJASUSI HAWA WA CCM, VINGINEVYO TUTAENDELEA KUFA NJAA WAKATI WAO WANAENDELEA KULA KUKU NA NYAMA CHOMA HUKO DODOMA.

Kama Change atapewa uspika, basi taifa limeteketea kabisa.:A S angry:
eti kaenda kuchukua fomu kwa baba yake makamba za kuy
Gazeti la RAI.
Mahojiano
 
Mpango wa Lowasa kuwania urais mwaka 2015 unaendelea vizuri. Kama Fisadi Chenge akiingia ktk Uspika, njia ya Lowasa itakuwa safi maana hiyo ni strategy yake. kazi ya Chenge itakuwa kumtakasa LOWASA mbele ya wabunge na Umma kutengeneza image yake upya. Watz tusikubali uozo huu. Kwa wale wanaosoma Biblia, Lk 6:39 kipofu hawezi kuongoza kipofu...

hapana man,lowasa siyo kipofu bali anataka kuwaongoza vipofu wasije wakatumbukia shimoni.
 
Back
Top Bottom